Lyrics

Wasikuambie kwamba mimi ati sina lolote Labda wakuambie sina ujanja juu yako Wasikudanganye watakupa utakacho chochote Wataitoa wapi furaha yako? Maana wabaya hawatoki mbali Jirani yako we ndio anapenda usile Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea Hawatokujali kipindi ambacho mawazo yanafanya usile Watakutupia mbali, hmm Si ulisema unataka gari na nimekubali Kuenyeka mi niumie Tule mbegu na ugali kesho tutapata Kipenzi nivumilie Ukinitema itakuwa ni hatari Utanipa na ajali Kitanzi nining'inie Si tumetoka mbali mazoea Na ushakuwama huoo (moyo moyo) Wangu mimi unauendesha (moyo moyo) Funga macho na masikio ziba (moyo moyo) Usiwasikie usiwaone pia (moyo moyo) Umegota kwako, moyo wangu (moyo moyo) Hauuu, uuuh (moyo moyo) Usiwaone pia Kukosa majaribu moyo usije tia donda ukauchubua Maumivu yaniadhibu kisa upendo furaha yangu ukaichukua Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu siku ntakosea Kukuacha sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia Ila usifanye kama fimbo, ufanane na tindo Ukashindwa kujali maumivu yangu Si ulisema unataka gari na nimekubali Kuenyeka mi niumie Tule mbegu na ugali kesho tutapata Kipenzi nivumilie Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali Kitanzi nining'inie Si tumetoka mbali mazoea Na ushakuwama huoo (moyo moyo) Wangu mimi unauendesha (moyo moyo) Oh funga macho na masikio ziba (moyo moyo) Usiwasikie, usiwaone pia (moyo moyo) Umegota kwako, moyo wangu (moyo moyo) Auuu uuh... (moyo moyo) Uh moyo! Moooyo! Haaah, ah moyo... (Moyo moyo) wangu mimi (Moyo moyo) funga macho, yeah yeah (Moyo moyo) oh baby, eeh eeh (Moyo moyo) funga macho... Ah, funga macho... Heeeei, funga macho The African princess!
Writer(s): Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out