Lyrics

Yao Yao jeshi Ooi boy boy Konde boyi Maembe suru chuku chuku ni sasamole Mi naning'inia kwa marati nipopoe (On the beat) Kiduchu nipe tena baba nijue Mi nakuzimia usizingue unisumbue wewe Mapenzi yetu ni ya mimi na wewe tu Usikize watu wananyongwa mbaya Basi nifanye kitu na boxy (lazizi wee) Usiku nipe shoti (lazizi wee) Ama nishike magoti (lazizi wee) Nilemshe mkombozi (lazizi wee) Ooh mi mwenzako imeshanikolea My baby boy oooh ah Ukienda zako mi nitanyong'onyea Ooh mi mwenzako imeshanikolea My baby boy oh ah Ukienda zako nitanyong'onyea Acha lizame! Baby unapenda vya giza giza kama ujainizoea Acha jua lizame! Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea Acha lizame! Unapenda vya giza giza kama hujanzoea Acha lizame... Mama unafanya tembo Kutwa nadindinsha mkonga We ndo kiboko ya warembo Wale wanaojipitisha vitonga Penye dhiki ni shuruba Mikeko ndo ulinikumbata Piki piki upande uber Popote nilipo ukanifwata Mimi bado wananiita mzugaji (Nilingojea) Sikidhi hata yako mahitaji (Nilingojea) Sina biashara mtaji (Nilingojea) Ulisema Mola ndo mpaji (nilingojea) Ooooh maana nipande tumwage mbolea Baby oh uh oh ah Ukitaka tena tutaendelea Oh oh ooh Shamba mwaga maji nimwage mbolea My baby oh uh oh ah Ukitaka tena tuataendelea Acha lizame! Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea Acha jua lizame! Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea Acha lizame! Unapenda vya giza giza kama hujanizoea Acha jua lizame ... Whine nikuuliza Bora ningejitengeneza oh nah nah Oii boy boy, oooii boy boy Yeah yeah yeah yeah Oii boy boy The African princess Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea Maana raha yakuingiza ujue inapotokea Unapenda vya giza giza kama hujanizoea Asa whine nimecool na bora ningejitengea Konde boy!
Writer(s): Rajab Kahali, Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out