Lyrics

Aaaaheeeh Kwako tena sitamani Nilishajua nilivaba Huna jipya Kurudi haiwezekani Nishalioga janaba Nikajisafisha mmmh Oh maradhi yangu Yamepata muuguzi Mola wangu Amenivusha vihunzi Pole mwenzangu Unokesha kwa waganguzi Nishapata wangu Anaejua nogesha chuzi Naa ananipa mapenzi na kunijari dia Ya nyuma niyasahau Na anamaliza tenzi kutwa kunisifia Kwa methali na nahau Kwingine nitake nini Ntang'angana, nang'ang'ania Ohoo mimi Nang'ang'ana nang'ang'ania Sitaki madanga wa mjini Nang'ang'ana, nang'ang'ania Oohoo mimi Nang'ang'ana nang'ang'ania Aaah atake cha uvunguni Sawa sawa Pingili za sakafuni Sawa sawa Michezo ya kusaka kunguni Sawa sawa Tom na Jerry katuni Sawa sawa (sawa) Niliposema wa nini Ye aliwaza atanipata lini Kendembwe za nini Na vijembe vya chini chini Yupo makini Penzi kashalibana na pini Anipenda mimi Hajazoea kuzini zini Kwanza kakuzidi maarifa Mpira tisini dakika Nyavu anazitikisa aahee Mlangoni mpaka kwa dirisha Pindu ananipindisha Mtoto ananifikisha aaaheee Naa ananipa mapenzi na kunijari dia Ya nyuma niyasahau Naaa anamaliza Tenzi kutwa kunisifia Kwa methali na nahau Kwingine nitake nini Ntang'angana, nang'ang'ania Ohoo mimi Nang'ang'ana, nang'ang'ania Sitaki madanga wa mjini Nang'ang'ana, nang'ang'ania Oohooo mimi Nang'ang'ana, nang'ang'ania Aaah atake cha uvunguni Sawa sawa Pingili za sakafuni Sawa sawa Michezo ya kusaka kunguni Sawa sawa eee Tom na Jerry katuni Sawa sawa (sawa)
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out