Music Video

Killy ft Alikiba - GUBU (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
KILLY
KILLY
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Alikiba
Alikiba
Songwriter
KILLY
KILLY
Songwriter

Lyrics

Hasira hasira za nini? Naomba urudishe moyo wako nyuma Naathirika mie Kwa nini eeh kwa nini eeh? Njoo tuzifute tofauti zetu Mi nawe Nisitokubali adhabu Penzi ile silioni Nimegundua ulinishusha daraja Ulitie huruma dhahiri Ukweli vile ulitangatanga kukicha Nilikosa nini hunny? Hadharani kumbe bado Namshika mkono ambaye Baba nani naye anajilia Yoyoyoyo Hata nani gubu la nini mama Mama eeeeh Kisiranii funzo usiofunzika Mama oooh Matatizo, gubu la nini mama eeh? Matatizo, gubu la nini mama eeh? Adhabu Killy Kisa alivyonichanganya Sioni sisikii Nimejaribu nimekwama Hata juzi juzi alilewa sana Akalala bar vile vile Mi nilimpenda kweli ooh Oooh ooh ooh oo Ni kama ana mapepo pepo Ya baharini Shida shida shida gani ooh Hivyo ndo alivyo oooh Hadharani kumbe bado Namshika mkono ambaye Baba nani naye anajilia Ooh mama bora ooh Hata ndani gubu la ringi Mama mama eeeeh Kisiranii funzo usiofunzika Mama mwana maaa Matatizo, gubu la nini mama? Matatizo, gubu la nini mama? Gubu la nini oooh Aaaah, matatizo Gubu la nini? Mama eeh
Writer(s): Ali Saleh Kiba, Killy Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out