Lyrics

Woh Eh Mbeya city boy RayV vanny boy, ha ha Aiyolizer Can you just rap just a little bit? Bet you never saw this coming, oh yeah Kama Zidane mpira uko kambani Vile nawabana kama pochi ya wadada kwapani Namwamini Mungu funga virago shetani Joh Makini akiwa mweusi Baraka tumwite nani Ah ah kwenye beat nateleza Japo sijasoma nachana hadi kiingereza Good morning! How are you!? Men that's simple You do it for your own but I do it for my people Nishataambika, wala sikusikika Wakalashika sahani, nikakosa niliepika Sasa mambo yamejipa kila kitu uhakika Nanenepa wasafi kupiga selfie na Tiffa Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu sugu sugu sugu Rayvannny boy Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu sugu sugu sugu Naitwa Rayvanny boy V vanny langu jina Kinyango toka mbeya siyo toy la kichina Sijatoboa sikio sijui piko wala ina Tattoo ya kazi gani ngozi taa ilishazima Visilani, walokesha kupigapini Hawaamini nikipita wanaomba picha na mimi Zamani mademu walinipiga chini saizi wananisumbua wao Ray jibu langu lini? Heshima kwa watabiri walosema nitafeli Wakaniita bajaji sitopita kwenye reli Sa mi Wasafii Kuku kapona kidedi Ukisikia birthday basi tukutane sheri Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu sugu sugu sugu Rayvannny boy Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu(yoh) sugu sugu sugu Niite Ray Sugu Sungura mla dubu Vipi mama wa kambo ona linatema gubu Mafuta na mashudu Kipi unahusudu Vunja kibubu isije kuwa mchele ama gubu Nafurahi kuona matusi ya wanaonipinga Waloninyima jero pindi napiga mizinga Sasa nawapa kero zamu yao kuzinga Tale kanipa mila msishtuke nikivimba Uswazi ndiko nakotoka Sista du onyo kushoboka Sitakuonga iPhone nitakuonga goroka Simu ya kitochi ukacheze gemu la nyoka Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu sugu sugu sugu Rayvannny boy Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu (nani?) Wananiita sugu sugu sugu sugu
Writer(s): Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out