Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Salmin Rashid Kassim
Salmin Rashid Kassim
Producer

Lyrics

It's Platnumz (Woo, woiyo ooh woiyo ooh) Zombie Its S2kizzy beiby Ati kanyaga ka ana pigo za unafiki Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki Kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi Hakulishi, hakuvishi kwani vipi? Kanyaga Wazee wa shobo kudandia, kanyaga Klabu kuomba omba bia, kanyaga Slay queens vibisho vya bandia Ukivipa hai ati madai vinavimbia Kanyaga! Uzushi, Kanyaga! Mashemu feki, Kanyaga! Nuksi, Kanyaga! Kudadadeki, Kanyaga! Mawifi, Kanyaga! Mpaka ma ex, Kanyaga! Mikosi, Kanyaga! Woooya Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Yii, Kanyaga! Kanyaga! Kama unanicheza zangu Kanyaga! Kanyaga! Wale wakuda wadaku Kanyaga! Kanyaga! Yeah, kidaku daku Kanyaga! Kanyaga! Wajue hizi namba chafu Woo, woiyo ooh woiyo ooh Woo, woiyo ooh woiyo ooh Ooh yeah eeh Siku hizi watu wanataka money So mitimu itakukosti, Kanyaga! Kunitumia mipicha pigo gani? Ati basi day nikuposti (oh yeah yeah) Kadi za harusi kuchanga changa, Kanyaga! Wakati mwenyewe nina majanga, Kanyaga! Sina godoro sina kitanda Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii) Kama buti la mugambo, Kanyaga! Wavuruga mipango, Kanyaga! Wazee wa Insta michambo Ati 'baby niunge bando' Kanyaga! Uzushi, Kanyaga! Mashemu feki, Kanyaga! Nuksi, Kanyaga! Kudadadeki, Kanyaga! Mawifi, Kanyaga! Mpaka ma ex, Kanyaga! Mikosi, Kanyaga! Woooya Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Kanyaga! Yii, Kanyaga! Kanyaga! Kama unanicheza zangu Kanyaga! Kanyaga! Wale wakuda wadaku Kanyaga! Kanyaga! Yeah, kidaku daku Kanyaga! Kanyaga! Wajue hizi namba chafu I say leeeooo Usiku hatulali, tunakesha kama popo Leo, leo Tena wape na habare Kama wao paka si-mbwa koko Leeeo Usiku hatulali, tunakesha kama popo Leo, leo Tena wape na habare Kama wao paka si-mbwa koko Asa timba, timba timba (timbaaa) Wanangu timba (timbaaa) Wao kula kushoto (timbaaa) Kula kulia (timbaaa) I say timba, timba timba (timbaaa) Oyaa wahuni timba (timbaaa) Kama unazikili (timbaaa) Mchaka kabisa akili (timbaaa) Kimya!
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Salim Karim Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out