Lyrics

I am a professional I am a professional I am a professional Smiley faces za face Zikaitwa lyricists na racists Terrorists huniita bomb cause, i am a professional Na sio satanic verses cautious zaidi ya Titanic imezama Sio kama na flow wananiita mfalme cause, i am a professional One of the realest illest killest cat you may see Mwanajeshi ka jeronimo plot cause, I am a professional Man who rules my government, uhuru is my lane Nam'Obama McCain cause, i am a professional Long time me i tell me coulda change dem plans Nikawa na dream ka da luther king cause, i have a dream! Na'speak in style kuwa unique, laying direct like an arrow Wananiita Malcom cause, i am a professional Professional chuo kikuu cha ghetto nawafunza kitaaolojia Industialpolitrix hustlematrix cause, i am a professional Napima umbali kwa mwendo kisha ninahesabu siku Muda ninausoma kwa jua ni ukweli, i am a professional Na pause kama coma kwenye sentence, im the first and the second Nang'ara kama almasi girls best friend Killing the drop thats what im best at Vyema na hizi self expressions, less na mere more visions I am a professional I am a professional I am a professional I am a professional I am a professional Ah Usiniite brief kama nike just do it, just do it Sikupaki matope kwenye hii dunia ya nguruwe Wala si stop nikiona red, natafuta daily bread Sasa im fully paid cause, I am a professional Mi ni zaidi ya bling bling magari pesa Kile ambacho hakiuzwi kwa bei ya chini and, I am a professional Mr international Blackspot ipo pimped Usilete nyodo ka za michael Jackson bongo kuna stink!, I am a professional Panya avae miwani ukimgeza utakula carrot You're the best of the worst and, I am a professional Sihitaji groupie love ila sababu wengi ni materialistic Naeza rudi home kwa mama na ukola unalamba lipstick Secrets wont stay secret for very long najiheshimu niheshimike cause, I am a professional Natokea mwanza home of the greatest rappers, Mtoto wa dandu comes first then, I am a professional I am a professional I am a professional I am a professional I am a professional Samaa X huniita Fid Q the future Machache niliyoyapitia kuna mengi nimejifunza, I am a professional Ruksa kunitoa ushamba kwa kile nisicho kijua Ntakuwa mjinga kwa sekunde kisha, I am a professional Nguvu ya elimu ina umuhimu pale elimu ikitumika Nalipwa kwa vyote ambavyo huvijui, I am a professional Muda mwingi niko sober kazi na sala kama mkoba Naamini Mungu ni mmoja ndo maana, I am a professional Tena im so grateful thankful, ili nipate mema natumia ufahamu, I am a professional Wanaongea walichosikia mi nasema nnachojua na sio ugly flow iko handsome, I am a professional So usinitreat kama second class person utakuwa umefanya first class mistake hey, I am a professional And im the best looking kama linen nikiwa mwendo kama Duke ukiwa kwenye mashine ah, I am a professional HipHop ni vile unavyoishi rap ni kile unachofanya sikio la kufa zibuka usikie hizi dawa, I am a professional Katikati ya jana na kesho hapo ndipo kuna muda Kazi madeni kuzidi malipo mwiko mimi ni professional!
Writer(s): A Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out