Lyrics

Mawazo mawazo mengi zimenijaza Mpenzi mpenzi ulinitoroka Maelezo maelezo mengi mi nataka Jamani unataka nini kwangu Dakika dakika nyingi zimepita Hakika wewe hujabadilika Dakika dakika nyingi zimepita Hakika wewe huna nafsi yaani Hunana hunana hunana huna nafsi Hunana hunana hunana huna nafsi Niliomba yote yatakuwa ndoto kwangu Niamke kando yako nikitabasamu Lakini huna utu wewe fisi Banange unataka nini kwangu Dakika dakika nyingi zimepita Hakika mimi nimebadilika Dakika dakika nyingi zimepita Hakika wewe huna nafsi yaani Hunana hunana hunana huna nafsi Hunana hunana hunana huna nafsi Kosa langu ni kukupenda Bila kujali ulichotenda Kizuri chajitokeza Kibaya chajitembeza Tembea Dakika dakika nyingi zimepita Masika zimebadilika Dakika dakika nyingi zimepita Hakika wewe huna nafsi yaani Hunana hunana hunana huna nafsi Wewe huna nafsi yaani Hunana hunana hunana huna nafsi
Writer(s): Peggy Kaaria Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out