Lyrics

Olala Mr. LG Oh! oh! Ananipa changamoto kila muda namuazia ooh Hadi nakua ka mtoto ninavyo pelekwa nakuambia ooh Penzi lina nichanganya sweet anawasha moto Ikokipigo mkongoto punguza kasi naumia Ah! Ah! Oh my baby nzela oh nzela wa jenjembe (jenje) Nipe ya kapera ya utamu wa embe embe (embe) Oh my baby nzelayo nzela wa zoloo (zolo) Nipe ya kapera upone huu moyo, oh yaiya Samba loketo Samba loketo Samba loketo Samba loketo Kaniminya kaniminya kanibana kanichota mzima eeh Kichwani minajaa mawenge anauchezesha mtima Mwenzako napenda vibaya sijakupenda bahati mbaya Nadata nakoma na haya unanifanya kitu mbaya yaiya yaiya yaiya yaiya Oh my baby nzela oh nzela wa jenjembe (jenje) Nipe ya kapera ya utamu wa embe embe (embe) Oh my baby nzelayo nzela wa zoloo (zolo) Nipe ya kapera upone huu moyo, oh yaiya Samba loketo Samba loketo Samba loketo Samba loketo (The Mix Killer) Mr. LG
Writer(s): Jay Melody Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out