Lyrics

Song. #Dolidoli Shombe shombe cheusi mangara yeeh Shombe shombe ananivutia yeeh Moyo umetulizana tuli tuli, umepata pumziko la kweli kweli Ana kila sababu mwezenu kwa sasa kwangu ndo number moja Hapa staki utani ata mtu ntaroga Ananipatia kunipa penzi tamu tamu Kama mtoto mdogo napewa mahaba kemu kemu Hajuhi kupania mpaka nasazaa game game Kwa mahaba yake najiramba kem kem Ou ou na sioni sababu yakugombana na yeye Sababu ya kuachana na yeye Mmh mmh Oneni bwaaanah tunavyopendana si no kupishana huu huu eeh Poleni sana mnaokesha kutuombea tuje siku kuachana Ooh mama doli doli samwela samwela Doli doli tuwaringishie penzi letu Doli doli samwela samawela Doli doli tuwaringishie penzi letu Mmmh ooouuh ooh ooohh Kila mutu na mupenzi wake acha mwenzenu nijidai Pemba kule chake chake sasa kwa nini nikinai Mapenzi yaaake matamu yamezidi asali Ukiniona nimesizi kaninyongea baby ye sadali Sadali sadali wamapenzi Hodari hodari simuwezi Sadali sadali wamapenzi Hodari hodari simiwezi ooh oooh oooh simuwezi Oneni bwana tunavyopenda si no kupishana Uuhh uuh eeh polen sana mnaokesha kutuombea tuje siku kuachanaaa Ooh mama doli doli samwela samwela Doli doli tuwaringishie penzi letu Doli doli samwela samwela Doli doli tuwaringishie penzi letu
Writer(s): Bakari Katuti Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out