Lyrics

Pisi kali pisi kali (Aha) Kama umeshushwa bei (Aha) Typically typically (Aha) Kama malaika baby Nzi kwenye kidonda nakufa Aii naona utamu (Nakufa) Wanafiki wanakonda wanakufa (Kufa) Mi naona utamu Kama una pisi kali Basi piga mayowe wee Woyoo, piga moyowe Kama una pisi kali Basi piga mayowe wee Woyoo, piga moyowe Kama umeliwa na simba wee, pisi kali Umetoka na Kiba wee, pisi kali Umetembea na tembo wee, pisi kali Umepita na Bad wee, pisi kali Pisi kali pisi kali (Aha) Kama umeshushwa bei (Aha) Typically typically (Aha) Kama malaika baby Baby inapush nenga (Pisi kali) Si macho matattoo (Pisi kali) Inajiweza sio vizinga (Pisi kali) Upaja una matattoo Hio Hennessy au K Vant (Pisi kali) Akitembea anatetema (Pisi kali) Una swala zigo elephant (Pisi kali) Anajua kuvaa Zile level ka za Huddah (Pisi kali) Au Tanasha Donna (Pisi kali) Ama Shakilla wa Insta (Pisi kali) Ama Vera Sidika (Pisi kali) Kama una pisi kali Piga mayowe wee Woyoo, piga moyowe Kama una pisi kali Piga mayowe wee Woyoo, piga moyowe Pisi kali pisi kali (Aha) Kama umeshushwa bei (Aha) Typically typically (Aha) Kama malaika baby Kama una pisi kali Piga mayowe wee Woyoo, piga moyowe Kama una pisi kali Piga mayowe wee Woyoo, piga moyowe
Writer(s): Denis Manja Lesalolo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out