Lyrics

Basi gusa changu kiuno nami nitulie, Bila mfupa navyokata lazima usimulie, Weka nukta shika hapa na mimi niungulie Kama guta sema popote mwenzako nikalie, Naitakasa nafsi na roho darling We ndio yangu habari, Kwa wengine sina habari Umenionjesha asali, Nimewaka ka kibatari, Kandamiza huo msumari, Me napenda ukinishika da eeh Unanitouch touch eeh Unanimaliza eeh Sema nikushike wapi eeh Kwako nimekuwa zuzu Tena siweziganduka, Sijui umenipa juju, Nikikuona napandwa mizuka, Me nasema wazi wazi, Mwenye wake aje amchukue, Nitaamua wali nazi, Nasema vya ndani nisisimulie Umeniweka nanga, Me ndio wake mahabuba, Siendi kwa mganga sijawahi kumroga, Naitakasa nafsi na roho darling We ndio yangu habari, Kwa Wengine sina habari Umenionjesha asali, Nimewaka ka kibatari, Kandamiza huo msumari, Me napenda ukinishika da eeh Unanitouch touch eeh Unanimaliza eeh Sema nikushike wapi eeh
Writer(s): Queen Darleen Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out