Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rehema Simfukwe
Rehema Simfukwe
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rehema Simfukwe
Rehema Simfukwe
Songwriter

Lyrics

Nina kiu nawe, sina mwingine, sina mwingine
Nina njaa nawe, sina mwingine, sina mwingine
Nina kiu nawe, sina mwingine, sina mwingine
Nina njaa na wewe, sina mwingine, sina mwingine
Nina kiu nawe, sina mwingine, sina mwingine
Nina njaa nawe, sina mwingine, sina mwingine
Tone la damu yako Yesu ninalihitaji Bwana (Linisafishe eeh)
Tone la damu yako Yesu ninalihitaji (Liniinue eeh)
(Nina kiu nawe) Nina kiu nawe, sina mwingine (Sina mwingine), sina mwingine
(Nina njaa) Nina njaa nawe, sina mwingine, sina mwingine
Tone la damu yako Yesu ninalihitaji (Linisafishe eeh)
Tone la damu yako Yesu ninalihitaji (Liniinue)
(Nina kiu nawe) Nina kiu nawe, sina mwingine (Sina mwingine) Sina mwingine
(Nina njaa ndani yangu), nina njaa nawee, sina mwingine, sina mwingine
(Bwana nijaze) Nijaze
(Bwana nijaze) Nijaze
(Na nguvu zako bwana) Na nguvu zakoo, bwana nijaze (Nijaze)
(Tunaamini uweza wako) Nijaze, (Tunaamini ukuu wako) nijaze
(Fadhili zako bwana) Nijaze, (Uwezo wako bwana) nijaze, (Heei) na nguvu zako
(Bwana nijaze) Nijaze, (Nijaze) nijaze, nijaze (Nijaze)
(Nijaze) Nijaze, nijaze (Nijaze)
(Ooh) Nijaze, (Uuh) na nguvu zako
Nina kiu nawe, sina mwingine, sina mwingine
Written by: Rehema Simfukwe
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...