Music Video

Mercy Masika - Upendo (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Zaidi by Mercy Masika
ALBUMZaidiMercy Masika
Listen to Ada Ehi: Spirits Rejoice featuring Mercy Masika
PLAYLISTAda Ehi: Spirits RejoiceApple Music Gospel

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mercy M Masika
Mercy M Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mercy M Masika
Mercy M Masika
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Timothy Boikwa
Timothy Boikwa
Producer

Lyrics

Ni mwaka mwingine tena Tumepitia milima na mabonde Lakini tumevukaa, tumeshindaa Kwa neema yakeee Siku yangu imefikaa Na nina iimbaa,hallelujaaah Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea Na kumpata yesuu (Kumpata Yesu) Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea Na kumpata yesuu Ni yesu tu(ni Yesu tuu) Sababu ya majira Ni yesu tu Tusheherekee Ni Yesu tu Mkombozi wetu Acha upendo wake utambae yahiya Acha upendo wake utambae yahiya Mungu kapenda huu ulimwengu Katupa mwanawe yesu ajeee Kwa sababu, yetu sisi Kwa upendoo kutuokoaaa Tumehuruhumiwaa Basi woote,tufurahıee Ubarikiwa sio mule, na kunyenyekea Na kumpata yesuuu Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea Na kumpata yesuu Ni yesu tu Sababu ya maajira Ni yesu tu Twasherekea (twasherekea) Ni yesu tu Mkombozi wetu Acha upendo wake utambae iya iya iya Acha upendo wake utambae iya iya iya Umempata yesu Sema yeh yeh(yeh yeh) Umempata yesu Sema yeh yeh(yeh yeh) Amekuokoa Sema yeh yeh(yeh yeh) Amekuokoa Sema yeh yeh yeh yeh yeh yeh Ni yeeesu tu(Ni yeeesu tu) Sababu ya maajira(Sababu ya maajira) Ni yesu tu Twasherekea(yesu tu yesu tu yesu tu) Ni Yesu tu Mkombozi wetu Acha upendo utambae iya Iya Iya Acha upendo utambae iya Iya Iya Upendo wa ajabu(utambae iya iya iya) Upendo wa Yesu (utambae iya iya iya) (Wacha upendo wake utambae iya iya iya)
Writer(s): Mercy Masika Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out