Lyrics

Halelulay, Onhooooo... Huyu Yesu si sanamu, Si mwanadamu adanganye Ahadi zake zote kweli Na Amina nimemuona Na akisema Ndio, Hakuna wa kumpinga Akikubariki, hakuna wakunyang'anya Akiku ahidi, kwa wakati atimiza Anavyokuita, ndivyo ulivyooo Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie... Unatangaziwa nini, umetabiriwa nini maishani mwako mwambie Unaumizwa na nini, je unahofu gani maishani mwako Mwambieeee Na akisema Ndio, Hakuna wa kumpinga Akikubariki, hakuna wakunyang'anya Akiku ahidi, kwa wakati atimiza Anavyokuita, ndivyo ulivyooo Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie... Onhoooo.Mwambieeeee enheeee Huyu Yesu, huyu Yesu, si hadithi mwambie...
Writer(s): Timothy Boikwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out