album cover
Wanitazama
9,558
Christian & Gospel
Wanitazama was released on August 7, 2020 by Independent as a part of the album Thamani - EP
album cover
Release DateAugust 7, 2020
LabelIndependent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Producer
Transsnet Music Limited
Transsnet Music Limited
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Mkono wako umenishika
Fimbo yako yaniongoza
Gongo lako lanifariji
Umenisitiri umenifanya hodari
[Verse 2]
Uliliona chozi langu la ndani
Ukalifuta na kunipa amani
Unyonge wangu haukukuweka mbali
Ukaniinua na kunipa thamani
[Chorus]
Eeh Bwana, (Wanitazama)
Baba (Baba Mungu usielala)
Wanitazama (Wanitazama)
Baba (Baba Mungu usiechoka)
Mi ni mboni yako (Yesu wee)
(Eeh Baba) Yesu wee
(Jicho lako) Yesu wee
(Eeh Baba) Yesu wee
Mi ni mboni yako (Yesu wee)
(Mmh Baba) Yesu wee
(Jicho lako) Yesu wee
(Eeh Baba) Yesu wee
[Verse 3]
Akili zangu zilifika mwisho, na kuona Mungu hunitazami
Taabuni
Na wanadamu wakapata cha kusema kuwa Mungu tangu hayupo
Tena nami
Nilipoona ni mwisho, wewe ukatangaza mwanzo
Nilipodhani ni pigo kumbe ni lako kusudio
Kilipozidi kilio wewe ukaleta kicheko
Ukadhihirisha kwa macho wewe ni langu kimbilio
[Verse 4]
Uliliona chozi langu la ndani
Ukalifuta na kunipa amani
Unyonge wangu haukukuweka mbali
Ukaniinua na kunipa thamani
[Chorus]
Eeh Bwana, (Wanitazama)
Baba, baba (Baba Mungu usielala)
Kwani wanitazama (Wanitazama)
Usiku na mchana (Baba Mungu usiechoka)
Kweli wanitazama (Wanitazama)
Jicho lako li juu yangu (Baba Mungu usiyelala)
Siogopi maana wanitazama (Wanitazama)
Baba (Baba Mungu usiechoka)
(Eeh mi ni mboni yako) Yesu wee
[Chorus]
(Eeh Baba) Yesu wee
(Kwa jicho lako) Yesu wee
(Kweli Baba) Yesu wee
Mi ni mboni yako (Yesu wee)
(Eeh Baba) Yesu wee
(Kwa jicho lako) Yesu wee
(Kweli Baba) Yesu wee
[Chorus]
Mi ni mboni yako (Yesu wee)
Yesu, Yesu, (Yesu wee)
(Kwa jicho lako) Yesu wee
(Kweli Baba) Yesu wee
[Outro]
Uliliona chozi langu la ndani
Ukalifuta na kunipa amani
Unyonge wangu haukukuweka mbali
Ukaniinua na kunipa thamani
Eeh Bwana
Written by: Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...