album cover
Moja
album cover
00:00
00:40
00:45
00:55
01:00
01:15
01:20
01:25
01:35
01:40
01:45
02:10
02:15
02:25
03:00
00:00
03:20
Past 7 Days
Moja was discovered most frequently at around 1 minutes and 35 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Nimezunguka sana
Ila Mungu kama wewe sijaona
Na naridhia bana hata
Walimwengu wakini cheka
Eti kisa nimekuchagua
Mimi siri yangu naijua
Wananiita majina majina
Ila mimi kwako ndio nimefika
[PreChorus]
Hata nikipewa nafasi ya kuchagua tena
Nitakuchagua wewe
Moyo wangu na nafsi
Umevishikilia mimi naridhika na wewe
Upendo wako wa dhati hata wasiokupenda
Unawabariki wewe hata nikipewa kamusi
Haiwezi kumaliza kukusifia wewe
[Chorus]
You are my number one
Eh yeah wewe ni namba moja
Eh yeah you are my number one
Wewe ni namba moja
[Verse 2]
Pale pale umenitoa hawawezi nielewa hawa
Yale yale umenitendea nashindwa simulia sana
Acha wanione mjinga ni sawa
Wakitupa maneno, neno lako dawa
Siyumbishwi kama pepo na ngalawa
Kwako nimejificha we ndo strong tower
Umenibeba mi na pande zako mbawa
Sa' kwingine nitafuata nini labda balaa
[PreChorus]
Hata nikipewa nafasi ya kuchagua tena
Nitakuchagua wewe
Moyo wangu na nafsi
Umevishikilia mimi naridhika na wewe
Upendo wako wa dhati hata wasiokupenda
Unawabariki wewe hata nikipewa kamusi
Haiwezi kumaliza kukusifia wewe
[Chorus]
You are my number one
Eh yeah wewe ni namba moja
You are my number one
Wewe ni namba moja
You are my number one
Eh yeah wewe ni namba moja
Written by: Joel Azaria Lwaga, Moses Luka
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...