Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jowi Lee
Jowi Lee
Performer
Otile Brown
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Donwilson Odongo
Donwilson Odongo
Producer

Lyrics

This Kind of Love Lyrics Oooh love baby Nahisi umenifunga kokoro Nahisi umenifunga minyororo ya mahaba Ata kwenye giza totoro beiby Nachohitaji ni uwepo wako na ni sawa We ni Juliet mi Romeo Leo kesho, peponi yeah yeah Sikio ushafunga kwa komeo yao usisikie Wabaya wanasema hunifai(Hunifai) Wanasema eti huna hadhi nami(Nami) Kwenye hili penzi nina imani beiby Wabaya wanasema hunifai(Hunifai) Wanasema eti huna hadhi nami(Nami) Kwenye hili penzi nina imani beiby This kind of love(Aaah) Of love Hautoipata hata kwa hela Of love, of love This kind of love(Aaah) Of love Hautoipata hata kwa sponsor Of love, of love(Love) Ipo radhi nite-niteketee Mama nite-niteketee Kwa lako huba la dhamani Lako huba la dhamani Ipo radhi nite-niteketee Mama nite-niteketee Kwa lako huba la dhamani Lako huba la dhamani Wabaya wanasema hunifai(Hunifai) Wanasema eti huna hadhi nami(Nami) Kwenye hili penzi nina imani beiby Wabaya wanasema hunifai(Hunifai) Wanasema eti huna hadhi nami(Nami) Kwenye hili penzi nina imani beiby This kind of love(Aaah) Of love Hautoipata hata kwa hela Of love, of love This kind of love(Aaah) Of love Hautoipata hata kwa sponsor Of love, of love(Love) This kind of love(Aaah) Of love Hautoipata hata kwa hela Of love, of love This kind of love(Aaah) Of love Hautoipata hata kwa sponsor Of love, of love(Love) WhatsApp
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out