Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
Zuchu
Zuchu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Juma Mussa Mkambala
Juma Mussa Mkambala
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
RAYMOND MAZIKU
RAYMOND MAZIKU
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Mocco Genius
Producer

Lyrics

La-la-la-la-laaa Lala, La-la-la-la (Mocco) la laaa Una hali gani unayefanya moyo wangu unadadarika (ahh) Niko twabani umeniacha dakika mbili tu nishaboreka Umeniweka rehani Changu kiwiliwili moyo umeuteka Umeniathiri honey nshaaribika mbaya kwa yako makopa Kama mapenzi kitabu Ungekuwa kurasa ya katikati Ukichanwa wewe stori haiendelei Aaaah nakupenda mpaka adhabu baby nahisi kuna hatihati Ukiniacha wewe walahi mimi sitoboi Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani Mimi ndege wako sa manati ya nini Nakupa ruhusa weeee! Nidhibiti Nidhibiti Nidhibiti Nakupa ruksa weee! Nidhibiti (weee) Nidhibiti Nidhibiti (now) Ewee baby (Eweee baby) Mke wangu (mume wangu Mimi na wee hadi milele Ooooh mbivu ziwe mbichi ni vya kwetu sisi Sijali nisharidhia yayaah Wabaya wanafiki watafute viti wakae kwa kutulia hayaaa Upendo kwetu faradhi umepita tsunaa Rabiii atuhifadhi mpaka kufika chanaa Ooh na mimi kwako ni radhi kufa kuzikanaaa Waambie wavunje nazi si tumeshindakana Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani Mimi ndege wako sa manati ya nini Nakupa ruhusa weeee! Nidhibiti Nidhibiti Nidhibiti Nakupa ruksa weee! Nidhibiti Nidhibiti Nidhibiti (now now)
Writer(s): Juma Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out