Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

[Verse 1]
Hivi nacheza rhumba ama bolingo nangai
Maana nina kiwembe kwenye vita ya Maasai
We nitese mchumba nimependa si shangai
Penzi kitovu uzembe mi nalia we furahi
Ila msiende nyumba za wageni
Walete nyumbani kwangu
Chunga taratibu na chaga
Msijevunja kitanda changu
Nimekununulia na feni
Msi sweat mke wangu
Kama majasho mkimwaga
Litumie taulo wangu
[PreChorus]
Na baya lako zuri kwangu yote mi nakusamehe
Kosa la kwako lawama kwangu
Achatu nijitetee
Furaha yako furaha yangu sipendi unyong'onyee
Ukimpenda rafiki yangu
Sema nikutongozee
Utamu wa pipi ni mate yangu uuuh
Napika mimi wanakula wenzagu uuuh
Ona nakosa siti kwenye gari langu uuh
Kuleni embe acheni kokwa langu eeh
[Chorus]
Nateswa nateswa
Mwenzenu nateswa na mapenzi
Jamani nateswa nateswa
Mwenzenu nateswa na mapenzi
[Verse 2]
Mapenzi anapanga manani
Sitaki kuruka ruka
Sawa nipande kichwani
Ukichoka utashuka
Niite mfanyikazi wa ndani
Huna haja kusumbuka
Kwani anakuja muda gani
Niwatandikie shuka
Siogopi ku share ila usisahau kinga
Japo kwangu fedheha
Kukuacha ndo nashindwa
Kweli wanionea
Nakubali we ndo bingwa
Nipo radhi kulea
Kama wakikupa mimba
[PreChorus]
Na baya lako zuri kwangu yote mi nakusamehe
Kosa la kwako lawama kwangu
Achatu nijitetee
Furaha yako furaha yangu sipendi unyong'onyee
Ukimpenda rafiki yangu
Sema nikutongozee
Utamu wa pipi ni mate yangu uuuh
Napika mimi wanakula wenzagu uuuh
Ona nakosa siti kwenye gari langu uuh
Kuleni embe acheni kokwa langu eeh
[Chorus]
Nateswa nateswa
Mwenzenu nateswa na mapenzi
Jamani nateswa nateswa
Mwenzenu nateswa na mapenzi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...