album cover
Kua Uone
663
World
Kua Uone was released on November 25, 2022 by Beka Flavour as a part of the album Kua Uone - Single
album cover
Release DateNovember 25, 2022
LabelBeka Flavour
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM168

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Beka Flavour
Beka Flavour
Performer
Easy Man
Easy Man
Performer
Bakari Abdu
Bakari Abdu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Bakari Katuti
Bakari Katuti
Songwriter
ISIHAKA SALEHE SESEME
ISIHAKA SALEHE SESEME
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Masile
Masile
Producer
Diblo One Touch
Diblo One Touch
Producer

Lyrics

Kucheleee mwabaa wazalamu.
                     
Sema nilipokua mdogo nili enjoy sana,
nilipokua mdogo nili enjoy jamani,
 
nilipokua mdogo nili enjoy sana,
nilipokua mdogo nili enjoy jamani,
 ukifika muda wa kula nabembelezwa nilee,
ukifika muda wa kulala naambiwa kalale na alfajiri mi naamshwa niende shule,
hakuna kulipa umeme hakuna kulipa maji,
 hakuna gharama yoyote inayonihitaji,
hakuna kulipa umeme hakuna kulipa kodi,
hakuna gharama yoyote inayonihitaji,
ila mama yangu alinambia mamaah,
mama yangu alinambia mamaaah.
     
Mwanangu kua uone,
weeh kua uyaone,
sio magorofa kua uoneh,
 we kua uyaone,
 mwanangu kua uone eeh we kua uyaone sio magorofa kua uone,
we kua uyaoneeeh.
  
Aah weeh Aaryani flavour kua uonee babaaa
Nimemis michezo ya kombolela kidali Pooh,
na kula mbakishie baba,
watoto wa kike vibalazani mdako wanacheza bila shida,
yani michezo ya kombolela kidali poo
na kula mbakishie baba
 na vyakula tunapika kwenye vikopo tunakula tunashiba,
 tena aina kuugua aina kusumbua arafu kibaba baba mapenzi yalipozaliwa,
aina kuugua aina kusumbua arafu kibaba baba mapenzi yalipozaliwa,
ila mama yangu alinambia mamaah,
mama yangu alinambia mamaaa,
 
             
Mwanangu kua uone,
sio magorofa we kua uyaone,
sio magari ya kifahari we kua uone,
ukihama kwenu utanielewa,
we kua uyaone ukianza kujitegemea,
mwanangu kua Uone,
maisha ni kupambana we kua uyaone,
vita mtaani sio lelemama sio magorafa kua uone,
 ukihama kwenu utanielewa ukianza kujitegemea
 Aah we shedrack seseme kua uone baba.
Basi twende ukinama unainama unakula mbakshie baba
twende miuno feni unanyonga unavunja chaga,
ukinama unainama unakula aah
twende miuno feni unanyoga unavunja chaga,
bingili chali chali twende chali chali,
 bingili chali chali cheza chali chali,bingili chali chali twende chali chali,
 bingili chali chali cheza chali,
we dada nipe kidogo we kidogo nionyeshe mikogo we mikogo,
we nipe kidogo we kidogo nionyeshe mikogo we mikogo,
dada bingili chali chali cheza chali chali bingili nione chali chali,
aah weeh othumani kaungu mzee wa dubai machebe star
nomaa ngelu the dj Tanzania one ngelu diblo one touch gusa .
Written by: Bakari Katuti, ISIHAKA SALEHE SESEME
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...