Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Songwriter

Lyrics

Nadia (Vicky Pondis) Tamu kama embe dodo,nitakupa mpaka uzirai Hili penzi si la kitoto, utabaki umelikubali Taratibu bwana mkunaji Leo nashaky kiNicky Minaj Njoo niongezeee eh eh Ikamate usilegeze eeh eh Nauliza niongezee eh eh Ikamate usilegeze eeh eh Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate Kama umeipenda ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) (Ikamate sana, ikamate hiyo) Zama ndani gizani baba mwiba kujitia huna pole Wewe ni mustaarabu kaka ikamate mpaka ipoe Vile unacheki una marinate I am your type and you can relate Come lemme give you little taste Later me and you participate Njoo niongezeee eh eh Ikamate usilegeze eeh eh Nauliza niongezee eh eh Ikamate usilegeze eeh eh Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate Kama umeipenda ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) Vile unacheki una marinate I am your type and you can relate Come lemme give you little taste Later me and you participate Njoo niongezeee eh eh Ukitaka uikamate (yo yo yo yo yoo) Ikamate hiyo, ikamate Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate Kama umeipenda ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate Kama umeipenda ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate Kama unaitaka ikamate hiyo (Ikamate sana, ikamate hiyo) (Ikamate sana, ikamate hiyo) (Ikamate kaka, ikamate hiyo) Ikamate iyo Iyo iyo iyo Nadia
Writer(s): Faith Mukami Muendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out