Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ziddy Value
Ziddy Value
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zidi Jamal Hamza
Zidi Jamal Hamza
Songwriter

Lyrics

Babe you know I like you sweetie
I love you sweetie
the way you look so pretty
my love don’t lie my sweetie
upendo haujifichi
You look so pretty
[Verse 1}
jinsi unavyo nichezesha ndo simalizi sikumalizi
Mwili una Stimulate hata ukiwa mbali nisikiapo sauti
moyo una Vibrate kwa hisia kali mwenzako pumzi hazishuki
[Chorus}
Babe you know I like you sweetie
I love you sweetie the way you look so pretty
my love don’t lie my sweetie upendo haujifichi
You look so pretty, you look so pretty
[Verse 2]
kwenye mvuwa au baridi wingu likitanda
we ndo mfariji umeniweka juu zaidi
moyo ukipenda mapigo bila idadi
si kingine ni mapenzi jama mapenzi
haya mapenzi nayazungumzia mapenzi
jama mapenzi nalilia mapenzi.
[Chorus}
Babe you know I like you sweetie
I love you sweetie the way you look so pretty
my love don’t lie my sweetie upendo haujifichi
You look so pretty, you look so pretty
Written by: Zidi Jamal Hamza
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...