album cover
Juu
176
Bongo-Flava
Juu was released on January 18, 2024 by Ziddyvalue as a part of the album Juu - Single
album cover
Release DateJanuary 18, 2024
LabelZiddyvalue
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ziddy Value
Ziddy Value
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ziddy Value
Ziddy Value
Songwriter

Lyrics

Naishi kwa baraka za mungu
Naishi chini ila nipo juu ya mawingu
Naishi kwa baraka za mungu yeyeyeyeye Ah
Naishi kwenye mikono ya mungu
Hamnitishi hata mubane mapuu
Siyo nyie mnao gawa mafungu
Yeyeyeyeye Ah
I feel so good kwa munao nidhrau
Hamunitoi kwenye mood yeye
Kuna bahati na juhudi
Tena. Msisahau nimelelewa
Kwenye hood yehi
Mungu asipo taka haliwi
We Ni nani? Eeeeh
Mungu akipanga hapangiwi
We Ni nani? Eeeeh
Na nitakuwa juu nitakuwa juu
Nitakuwa juu wajuu sana
Na nitakuwa juu nitakuwa juu
Nitakuwa juu wajuu sana
Nishakuwa sana chakula chambu
Nishakula mpaka na wenye majungu
Na shuleni waliniita mbu mbu yeyeyeyeye
Nishapambana sana mpaka nikajihisi nnagundu
Nishaachwa na mpenzi eti siyo
mtundu Ah
Oneni maajabu ya mungu yeyeyeyeye
I feel so good kwa munao nidhrau
Hamunitoi kwenye mood yeye
Kuna bahati na juhudi
Tena. Msisahau nimelelewa
Kwenye hood yehi
Mungu asipo taka haliwi
We Ni nani? Eeeeh
Mungu akipanga hapangiwi
We Ni nani? Eeeeh
Na nitakuwa juu nitakuwa juu
Nitakuwa juu wajuu sana
Na nitakuwa juu nitakuwa juu
Nitakuwa juu wajuu sana
Written by: Ziddy Value
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...