album cover
Mapenzi Choir
album cover
Mapenzi Choir was released on February 20, 2024 by Ziddyvalue as a part of the album Mapenzi Choir - Single
February 20, 2024
LabelZiddyvalue
LanguageEnglish
BPM197
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

kama ni mapenzi mpenzi
Yana nitatiza Mmh
Napenda mapenzi harafu siyawezi
Hodari wa kulizwa Mmh
Ukomando siuwezi ooh napenda
Kudekezwa Mmh
Hata ukisema una niacha unamuwachia nani
Vi ujinga vyangu hivi nipende tu
Kwako nisipo deka nita mdekea nani
Na utoto wangu huu nipende tu hivyo hivyo
Hayo ndo mapenzi Mmmh Mmmh Mmmh Mmmh Mmmh huku ndo kupendana
Kuficha maradhi kuficha ugonjwa ndo kitu ambacho siwezi
Ikitokea nime kuudhi usifanye maamuzi
Ukisikia miruzi ni ya mbwa siyo mbuzi
Hata ukisema una niacha unamuwachia nani
Vi ujinga vyangu hivi nipende tu
Kwako nisipo deka nita mdekea nani
Na utoto wangu huu nipende tu hivyo hivyo
 
Hayo ndo mapenzi Mmmh Mmmh Mmmh Mmmh Mmmh huku ndo kupendana
Hayo ndo mapenzi Mmmh Mmmh Mmmh Mmmh Mmmh huku ndo kupenda
Written by: Zidi Jamali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...