album cover
Niite Basi
88,179
African
Niite Basi was released on February 23, 2023 by Genje Music Solution as a part of the album Niite Basi - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
02:05 - 02:10
Niite Basi was discovered most frequently at around 2 minutes and 5 seconds into the song during the past week
00:00
00:15
00:20
00:25
00:40
00:45
01:05
01:25
01:30
01:40
01:45
01:50
02:05
02:30
02:35
03:05
03:25
03:30
03:40
03:45
03:50
04:10
00:00
04:19

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Josline
Josline
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Josline
Josline
Composer

Lyrics

(Instrumentals)
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Unapo niita mpenzi, 'Joslin napata wazimu
Isitoshe baby, 'pale unapo nichumu
Mwili unasisimuka, tena napoteza fahamu
Baby
Ningefanya nini?
Washkaji zangu daily mi wananicheka
Jinsi mpenzi ulivyo niteka
Wanasema siku moja utatoroka
Halafu 'mi nitabaki teseka
Ukifanya hivyo, 'baby, ni vibaya hivyo
Utanitesa mimi, 'baby, ni vibaya hivyo
Hata nikiwaona masela nitaona soo
Niite basi mpenzi wewe ndio kipenda roho
Ona unaniweka wasiwasi
Baby girl njoo mi nipate nafasi
Ona unaniweka wasiwasi
Baby girl njoo mi nipate nafasi
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Mi nataka twende kwetu kwa wazazi
Lakini mpenzi ubadilishe mavazi
Kusudi tukifika wasilete kipingamizi
Njoo basi, njoo, 'wangu mpenzi
Nitafurahi ukiwaona ndugu zangu
Bibi na babu, baba na my mama
Na uhakika watakuombea kwa Mungu
Maisha yako yote yasiwe machungu
Napenda pozi zako baby unapo shika dread
Napenda unavyo blaze macho yako, yako (?)
Napenda unavyo shake, kiuno chako kama Ray-C
Napenda unavyo niambia ukweli (?)
Ona unaniweka wasiwasi
Baby girl njoo mi nipate nafasi
Ona unaniweka wasiwasi
Baby girl njoo mi nipate nafasi
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Yeah
Usione kama naropoka mi nipo real (Real)
Ina maana unataka sema ndio watao ni feel? (Watao ni feel)
Sikiliza baby girl ni fact I'm dying
Naomba unielewe basi mi nipo kwenye line
Ndio maana daily nataka niwe nawe
Siwezi kuishi maisha pekee yangu bila wewe
Nita enjoy vipi wakati nipo mwenyewe?
Ni vipi nitafurahi, wapi nitajidai?
Nishachoka dharau, daily wapite na wake zao
Washkaji zangu wa home, wote wana ndoa zao (Baby, baby)
Niite basi ili mpenzi we uwe wangu
Kama Mungu akipenda na amini utakuwa kwangu
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizo nazo ni za kwangu
Njoo, oh
Njoo, oh yeah
(Instrumentals)
Written by: Josline
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...