Music Video

Beda Andrew - NGUVU ZA MUNGU (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Beda Andrew
Beda Andrew
Lead Vocals
PRODUCTION & ENGINEERING
Benfranco
Benfranco
Producer

Lyrics

Rafiki hivi unavyoniona Ni kwa neema tu Na hata uzima nilio nao Ni upendeleo tu Na kufika hapa sio sababu ya kuwa Mimi ni mwema sana (Kuliko wale) Tena natambua kama si wake mkono Ningeshatumbukia shimoni na nipotee Ninalindwa, kwa nguvu za Mungu Ni kwa nguvu za Mungu Si kwa ujanja wala akili zangu Ila ni kwa nguvu za Mungu Ninalindwa, kwa nguvu za Mungu Ni kwa nguvu za Mungu Si kwa ujanja wala akili zangu Ila ni kwa nguvu za Mungu Nia ya mwovu ni kutaka ona mi naangamia Kusudi la Mungu maishani mwangu nisipate timia Anatega mitego, ili mradi kuniangamiza Kunimaliza kunipoteza, ila Yahweh ananilinda Nimeokolewa na ajali Magonjwa na kila hatari Mpaka sasa nipo hai Nakushukuru jemedari Uzima wangu, hauko mikoni mwangu Uzima wangu, uko mikononi mwake Kwa nguvu za Mungu Ni kwa nguvu za Mungu Kwa nguvu za Mungu Ni kwa nguvu za Mungu Ni kwa nguvu za Mungu Si kwa ujanja wala akili zangu Ila ni kwa nguvu za Mungu Ninalindwa, kwa nguvu za Mungu Ni kwa nguvu za Mungu Si kwa ujanja wala akili zangu Ila ni kwa nguvu za Mungu Ninalindwa, kwa nguvu za Mungu Ni kwa nguvu za Mungu Si kwa ujanja wala akili zangu Ni kwa neema tu za aliye juu Aliye juu ni Mungu mkuu Ni kwa neema tu za aliye juu Aliye juu ni Mungu mkuu Ni kwa neema tu za aliye juu Aliye juu ni Mungu mkuu Ni kwa neema tu za aliye juu Aliye juu ni Mungu mkuu Kwa nguvu za Mungu Ni kwa nguvu za Mungu Si kwa ujanja wala akili zangu Ila ni kwa nguvu za Mungu
Writer(s): Beda Andrew Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out