Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Nusder Venom
Nusder Venom
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Mmh mashallah
Mama mkwe shikamoo, huyu mtoto umetotoa ni balaa
Tumbo si la kwashakoo, shepu linatukomoa nyie
Mwenzenu huku kumbe ninapendwa, afu hamsemi, nyie
Mapenzi yanapamba moto, amkeni-amkeni
[Verse 2]
Nahisi udongo wako Mungu alichanganya viwili
Misheni na maziwa kwa mbali, pilipili
Udaku damu wa Makka uzidi kunawiri, sura yako
Kichwani hakusita kumiminia akili
Moyo wa upendo na wenye kusubiri
Shepu kwa hasira kajaza mara mbili, zawadi yako, oh
[PreChorus]
Aah, kupendwa raha mkipendana, hakuna karaha
Aah, napewa raha katibu jeraha, mmh, aah
[Chorus]
Habibi, habibi
Habibi, habibi
Habibi, habibi, I love you, I want you
Habibi, habibi
Habibi, habibi
Habibi, habibi, I love you, I want you
[Verse 3]
Mahaba, yananimwagikia
Nimekabwa, hataki niachia
Na, kwake nadekezwa nadeka
Kina fulani wanakereketwa
Namuomba Muumba akulinde malikia
Naomba nisikukose kwa dunia
Wakikugusa ni mapanga Tarime
Ya tisa ya mie mama Dorime
Wasokupenda waende wakalime
[PreChorus]
Aah, kupendwa raha mkipendana, hakuna karaha
Aah, napewa raha katibu jeraha, mmh, aah
[Chorus]
Habibi, habibi
Habibi, habibi
Habibi, habibi, I love you, I want you
Habibi, habibi
Habibi, habibi
Habibi, habibi, I love you, I want you
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...