Lyrics

It's studio 4.5 Aahh! baby de antony (Eeh) Handsome (Ha hee) baby de antony Handsome (Dimpoz kwa poz) ta ta raa Clever dee, clever dee (ta ta raa) Poz kwa poz (Na Diamond) Poz kwa poz (wasafi) Poz kwa poz (wasafi) Eeeh aah, Eeh aah Basi ndo ule utamu (utamu) Ulonizidi hamu, nami nkakupa peremende Kama hauna nidhamu, haramu Nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende Basi ndo ule utam (utamu) Ulonizidi hamu, nami nakakupa peremende Kama hauna nidhamu, haramu Nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende Ukikata utamu utamu Ukicheka utamu utamu Ukilia (utamu utamu) Utamu utamu, utamu utamu Unavyikata aaih (utamu utamu) Aah aah iih Ukicheka (utamu utamu) Ukilia (utamu utamu) Utamu utamu, utamu utamu Uzuri wako kama wema pale kati Nmekuteka hata jiga hakupati Hata wengine wakisema Umeshatenda nami nakupenda kwa dhati Na sura yako tamu kama joketi Japokuwa babe umekosa kidoti Nami nipe tena kwa kitanda Asa pale kwenye busati Lemme say mamy leo Ninachoomba onesha upeo Unipe mambo ya kwenye video Unipe maraha maradha mavitu ya dunia hii Hii mamy leo Ninachoomba onesha upeo Unipe mambo ya kwenye video Unipe maraha maradha mavitu ya dunia hii Unavyo kata utamu utamu Ukicheka utamu utamu Ukilia utamu utamu Utamu utamu, utamu utamu Aah aah iih unavyokata utamu utamu Aa aah aiih ukicheka utamu utamu Ukilia utamu utamu yeah yeah Utamu utamu, utamu utamu Sitaki mwingine Kipenzi ni wewe Ni wewe Mie sitaki mwingine Pistol yangu unaikoki Unaanza kuishikashika Na machozi ya kububujika Mwishoni na yenyewe inakudedisha Uuuuh!! unaikoki mama Unaanza kuishikashika Na machozi ya kububujika Mwoshoni na yenyewe inakudedisha (paaaah) Mamy leo Ninachoomba onesha upeo Unipe mambo ya kwenye video Unipe maraha maradha mavitu ya dunia hii Mamy leo Ninachoomba onesha upeo Unipe mambo ya kwenye video Unipe maraha maradha mavitu ya dunia hii Handsome yule mtoto wa kariakoo Awesome kolabo na diamond Handsome yule mtoto wa kariakoo Na diamond eeh ahh (poz kwa poz) Handsome yule mtoto wa kariakoo Awesome kolabo na diamond Handsome yule mtoto wa kariakoo Na diamond eeh ahh Unavyo kata utamu utamu Ukicheka utamu utamu Ukilia utamu utamu Utamu utamu, utamu utamu Unavyo kata utamu utamu Ukicheka utamu utamu Ukilia utamu utamu (yeah) Utamu utamu (yeah), utamu utamu Basi ndo ule utam (utamu) Ulonizidi hamu, nami nakakupa peremende Kama hauna nidhamu, haramu Nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende Basi ndo ule utam (utamu) Ulonizidi hamu, nami nakakupa peremende Kama hauna nidhamu, haramu Nipe mambo matamu, ila kama hutaki niende Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar Ningeweza uje ishi nami huku Dar Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar Ningeweza uje ishi nami huku Dar Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar Ningeweza uje ishi nami huku Dar Kama ningeweza uje ishi nami huku Dar Ningeweza uje ishi nami huku Dar
Writer(s): Ommy Dimpoz, Dully Sykes, Naseeb Abdul Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out