Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Malaya we jina langu la utani iloo
Malaya wee, jina langu la utani iloo
Malaya wee, jina langu la utani iloo
Malaya wee, jina langu la utani iloo
[Verse 2]
No loss when you see me club I move like boss
Pisi za wadosi they like to take photo, me I take pose
Yeah mademu wananitaka sitongozi
Nimezichoka simu zakina rozi
Niko na teacher konde mkombozi
Wanangu wa kitaa ni chafu pose
[Chorus]
Shem, shem, shem, shem
Kanitongozaaa, shem kanitongoza
Shem, shem, shem, shem
Kanitongozaaa, shem kanitongoza
[Refrain]
Everybody move, move, move move (Pose)
Lets move move, move move (Pose)
Yes move, move, move move (Pose)
Move, move, move move (Pose)
[Bridge]
Alafu tunatake pose
Fanya kama unaipoza
Alafu tunatake pose
[Verse 3]
Chanzo chakuniita malaya
Kisa nikiwa kwenye party na spend
Na sipendi kulala weekend
Napenda watoto wenye mzigo na mtindi
[Verse 4]
Na wakati wa kulala, pisi zisiwe chache ziwe nyingi
Maana watoto wanapenda shilingi
[Verse 5]
Yanii peesa kama huna watakutesaa (Aiwenaa)
Magetho ufate nini hoteli zote hizo (Aiwee)
Chukua chumba mmalizane usitake mzoeane watakusumbua (Aiwena)
Watoto wa mjini wanapenda vya dezo (Aiwee)
Pesa yako ya mawazo ibane usitake tulaumiane watakuchunua
[Chorus]
Shem, shem, shem, shem
Kanitongozaaa, shem kanitongoza
Shem, shem, shem, shem
Kanitongozaaa, shem kanitongoza
[Refrain]
Everybody move, move, move move (Pose)
Lets move move, move move (Pose)
Yes move, move, move move (Pose)
Move, move, move move (Pose)
[Outro]
Alafu tunatake pose
Fanya kama unaipoza
Alafu tunatake pose
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...