Lyrics

(Sevens Music) (Vicky pon dis) Zawadi kanipa Mungu sasa kwani nini nisipokee? Zawadi ya kiyoyozi palipo joto baridi unipepee Tena baridi si nyingi kiasi, usingizi mniletee Ukitoka kazini uchovu mawazo hunifanya yapotee Hivi ushapendwa? Maanake nikipenda huwaga napenda kweli Uoga wa kutendwa Usihofu mimi si kama wale matapeli Si leo nadeka nacheza napendwa na wewe Nishike nipinde, nibebe nimenaswa na wewe Mmh yeah Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmh baby Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby Ha, kina chako cha mapenzi nishazama (aah haya) Nguvu zaniisha ukinitazama (aah haya) Mi ni wako pekee, mwengine hapana Walosema watasema sana Nimepata zawadi, zawadi yangu mmmh Nimepata zawadi, zawadi yangu hee yeah Nimepata zawadi, zawadi yangu Nimepata zawadi, zawadi yangu Zawadi yangu, zawadi yangu Zawadi yangu, zawadi yangu Kwa geti nitaweka umbwa kali Ndo mafisi wasisogee Nikulinde nikutunze sarafu Mikononi usinipotee Niruhusu nikugande chawa Umenishika pabaya Unachotaka nini sawa Maana nishapagawa Jamani penzi letu limebobea Nimepata wangu mi napepea Kitausi nariga nikitembea Unavyonipenda najichekea Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe (na wewe) Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe Mmmh yeah Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmh baby Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby Ha, kina chako cha mapenzi nishazama (aah haya) Nguvu zaniisha ukinitazama (aah haya) Mi ni wako pekee, wengine hapana Walosema watasema sana Nimepata zawadi, zawadi yangu mmmh Nimepata zawadi, zawadi yangu hee yeah Nimepata zawadi, zawadi yangu Nimepata zawadi, zawadi yangu Zawadi yangu, zawadi yangu (basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe) Zawadi yangu, zawadi yangu (nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe) Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe (na wewe) Nishike nipinde, nibebe nimenaswa na wewe
Writer(s): Nadia Mwendo Mukami Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out