Credits

PERFORMING ARTISTS
Mavoicetz
Mavoicetz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdul issa
Abdul issa
Songwriter

Lyrics

UTangulizi
Si kama Nakuombea Mabaya
Ila Kuna siku utanikumbuka
Hii Dunia weee..
Uberi wa kwanza
Nimeamua Niwe Mbali Nawee.
Am sorry.
Na kama siwezi Kupata Kama wewee
Sawa Tuuu..
Huwenda Mungu Hakupanga Mimi nawee
Tuwe Pamojaaa
Yanini Nikulazimisheee.
Kosa Silangu Niliomba Msamaha ili Ya Ishe twendelee.
Leo Nalivua Pendo Sitaki Kuamini
Kama Penzi Letu limefika mwisho
Daraja
Sikama Nakuombea amabayaa.
Ila Kuna siku utanikumbukaaa.
Hii duniaa wee.kila siku inazungurukaa.
Ulonifanyia weee.iposiku yatakukuta.
Kiitikio
Kama Kweli Hunitaki Mimi sawaa
Iyeee
Hiiduniaa weeee
Sawaaa
Kama Kweli Hunitaki Mimi sawa
Iyeee Sawa
 Nimekubaaliana naweee.
Iyeee eeee
Uberi wa pili
Mvumilivu Hula mbivu sawa sikataiiii
Naona maji shingoniii
Imeshanikabataiiiii
Sijilaumu kuachana naweee
Japo moyo unaumaaa
Sijazoea kusheaeee
Hacha wenzangu niwachieee
Daraja
Sikama Nakuombea amabayaa.
Ila Kuna siku utanikumbukaaa.
Hii duniaa wee.kila siku inazungurukaa.
Ulonifanyia weee.iposiku yatakukuta.
Kiitikio
Kama Kweli Hunitaki Mimi sawaa
Iyeee
Hiiduniaa weeee
Sawaaa
Kama Kweli Hunitaki Mimi sawa
Iyeee Sawa
 Nimekubaaliana naweee.
Iyeee eeee
Written by: Abdul issa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...