album cover
Nadeka
album cover
Nadeka was released on November 1, 2024 by Kassu Music as a part of the album Nadeka - Single
November 1, 2024
LabelKassu Music
BPM84
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

(Kassu)
Umenifunga kitanzi, na mwili wote umekufa ganzi
Yote ni furaha ya mapenzi, nikikukosa nita'dead
Na nyuma niliteswa na maradhi, na we umeniponya dakitari
Na we ndo tiba yangu mupenzi, unayejua maana ya mapenzi
Na pale lips zikigusana, hisia macho kutazamana
We ndo baby baby, we ndo sweetie sweetie
Nikuite jina gani mpenzi
Niambie!
Maana
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Oh mpenzi we, unanifanya naringa
Natamba kila siku, yaani wakati wote
Nikupe nini we, ama hii dunia
Nikupe moyo wangu, utawale wote
Na kama mapenzi ni uchizi (nidate mazima)
Au kama mapenzi kambakamba (nifungwe mazima)
Na pale lips zikigusana, hisia macho kutazamana
We ndo baby baby, we ndo sweetie sweetie
Nikuite jina gani mpenzi
Niambie!
Maana
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
Nade Nadeka
(Kassu)
Written by: Kassumpa Adrian Machati, Rajabu Ally Rajabu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...