album cover
Mwalimu
1,588
Christian
Mwalimu was released on June 10, 2024 by Bony Mwaitege as a part of the album Mwalimu - Single
album cover
Release DateJune 10, 2024
LabelBony Mwaitege
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM104

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bony Mwaitege
Bony Mwaitege
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniphace Patson Mwaitege
Boniphace Patson Mwaitege
Songwriter

Lyrics

Mwalimu ni jina la heshima
Kwenye jamii
Jamani Mwalimu
Hata Bwana Yesu alitwa Rabbi
Yaani mwalimu
Oh mwalimu
Jina la heshima sana
Mwalimu ni mtu muhimu sana
Kwenye jamii
Jamani mwalimu
Naweza sema uti wa mgongo
Kwenye jamii
Jamani mwalimu
Mungu awabariki sana
Mwalimu popote mlipo
Mpewe maisha marefu sana
Mwalimu popote mlipo
Aa
Ee
Ii
Oo
Uu
Ulipa mana mwalimu wangu
Niweze kusoma
Ma
Me
Mi
Mo
Mu
Ulipa mana mwalimu wangu
Niweze kusoma
Mwalimu
Da
De
Di
Do
Du
Ulipa mana mwalimu wangu
Niweze kusoma
Mwalimu
Ubarikiwe
Mwalimu
Aah!
Eeh!
Moja, mbili, mpaka kumi
Ulipa mana mwalimu wangu
Nikaweza kuhesabu
One
Two
Three
Four
Kwa Kiingereza
Nikaweza kuhesabu
Moja, mbili, mpaka kumi
Ulipa mana mwalimu wangu
Nikaweza kuhesabu
One
Two
Three
Four
Kwa Kiingereza
Nikaweza kuhesabu
Wengine wamekuwa wafanya biashara
Matajiri wakubwa jasho lako mwalimu
Limechangia
Mungu akubariki sana
Mwalimu
Hakuna professor
Bila mwalimu
Waziri
Bila mwalimu
Hata hao maraisi
Walipita mikononi mwa mwalimu
Jamani mwalimu
Hakuna Doctor
Bila mwalimu
Generali
Bila mwalimu
Watu wote maarufu
Walipita mikononi mwa mwalimu
Jamani mwalimu
Weeeeeh!
Wenyeshi boda boda bila mwalimu
Uzi mitumba bila mwalimu
Hata hao wa machinga nyuma yao yupo mwalimu
Jamani mwalimu
Weeeeeh!
Kila sector
Mchango wa mwalimu
Lazima uwepo weeh!
Aa
Ee
Ii
Oo
Uu
Ulipa mana mwalimu wangu
Niweze kusoma
Ma
Me
Mi
Mo
Mu
Ulipa mana mwalimu wangu
Niweze kusoma
Mwalimu
Popote ulipo mwalimu
Mungu waakubariki sana
Nimeona mchango wako
Kwenye maisha yangu ya kila siku
Sijui ni kupenza waki gani
Mwalimu
Popote ulipo mwalimu
Mungu waakubariki sana
Nimeona mchango wako
Kwenye maisha yangu ya kila siku
Sijui ni kupenza waki gani
Mwalimu
Written by: Boniphace Patson Mwaitege
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...