album cover
Kunguru (feat. Munta Dee)
20
New Age
Kunguru (feat. Munta Dee) was released on June 17, 2024 by Hakika Studios as a part of the album Kunguru (feat. Munta Dee) - Single
album cover
Release DateJune 17, 2024
LabelHakika Studios
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Holiday Tz
Holiday Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Holiday Hassan
Holiday Hassan
Songwriter

Lyrics

AGiih hayaa
Its dady Again
Zilikuponza tamaa ukajua nakupenda bwana ako ukamkimbia
Nilipo kupa nyama uka sahau milenda et hupendagi vibamia
aaah aah
Nimeshtuka kubababake siwezi kua na wewe tena
Mwanamke gani hueleweki kama kisimbuzi cha antena
Mi naomba uniache rudi kwa bwana wako tena
Halisimami hata udeki bahari nzima ya mji mwema
Sibebembelezi mapenzi mwenzako nishaachagaa we unajisumbua
Kutwa kuvunja kabati hutaki tuvunje chaga aah leo nakutumua
Fukuza paka fukuza mbwaah fukuza kunguru
Fukuza paka fukuza mbwaah fukuza kunguru
 
Fukuza paka fukuza mbwaah fukuza kunguru
Fukuza paka fukuza mbwaah
Aah aah
weeh
 mi sio tozii wewe
dah
Alikata tamaa alijua kwangu nita mchosha huyoo
Alifungua pingu za maisha
Ndipo aka chachama ropo maneno kibao kumtoka huyoo
Akanasa kwa nyavu wakamtosa
Na kabla ya weeh
alikua wangu
Nisha Mpinda pinda nishamnyonga nyonga skuizi kawa changu
Unakula makoo mbo ya walimwengu na uliza mwisho jana
Katoka kulala kwangu
Mnafanya vitu vile vya kipumbavu
Mnafanya vitu ambavyo havimpendezi mungu
Mnafanya vitu vile vya kipumbavu
Mnafanya vitu ambavyo havimpendezi mungu
Fukuza paka fukuza mbwaah fukuza kunguru
Fukuza paka fukuza mbwaah fukuza kunguru
Fukuza paka fukuza mbwaah fukuza kunguru
Fukuza paka fukuza mbwaah!
Aah
Muntaa dee Aah.
Adasco mi sio tozii wewe
Holiday daa!
Agiih hayaa Its dady Again
Written by: Holiday Hassan
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...