album cover
Madeni
album cover
Madeni was released on October 24, 2025 by Hakika Studios as a part of the album Madeni - Single
October 24, 2025
LabelHakika Studios
LanguageEnglish
BPM146
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Pala lala
Aaanh
Nipite na humu eeenh
Agy aah
Adasco m2 Mbaya
Sa unanidai unanidai
Unanidai ndo unifate nyumbani
Ukojizima washa WIFI nitakulipa mwakani
We haufai haufai haufai ndo ushikajigani
Ulinikopesha chumbani unanidai hadharani
Asa tu tu tu tu tu tu tulia
Eti kisa unanidai ndo nisinywe bear
Asa tu tu tu tu tu tu tu kelele
Simu zako usiku wa manane
Me niko kwenye kilele
Oyah funga turubai kunamtu atakufa
Alinikopesha buku anabeba sabufa
Fungeni milango fungeni mageti
Kuna muha ananidai ataharibu budget
Kwani we ni nani mbona number
Ako ngeni na unashida gani unanipa kitete
Sikupati hewani nasikia tu mahakamani
Simu aliazima jirani ngoja basi nimpe
Asa tu tu tu tu tu tu tulia
Eti kisa unanidai ndo nisinywe bear
Asa tu tu tu tu tu tu tu kelele
Simu zako usiku wa manane
Me niko kwenye kilele
Eenh baba mkwe eenh
Baba usawa unakaba nililipa
Mahali nusu huu mwaka wa saba
Mwenye nyumba unanikaba kasome mkataba
Kila siku nakesha bar ndani sijalalaga
Aloooh aloo simu ina kata
Aloooh aloo sijakupata
Aloooh aloo simu ina kata
Aloooh aloo sijakupata
Asa tu tu tu tu tu tu tulia
Eti kisa unanidai ndo nisinywe bear
Asa tu tu tu tu tu tu tu kelele
Simu zako usiku wa manane me niko kwenye kilele
Written by: Adasco M2 Mbaya, Holiday Tz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...