album cover
Parara
album cover
Parara was released on September 14, 2024 by Hakika Studios as a part of the album Parara - Single
September 14, 2024
LabelHakika Studios
LanguageEnglish
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Holii wee(Holiday) AGiiiih hayaa
Nisha funga kurasa nachoma
Kitabu cha mapenzi yangu mi naye
Ameweka kitasa kwenye zipu
Yangu nifanye nini kwenginewe
Naeka kando ujana
Safari kikomo tukutane kiama mmh
Na mkihisi nna laana jua ni mapenzi yame nizidia sana aaa
Pararara paparaa paah
Turururu tuturuutu
Aaaaaah
Pararara papa raapa
Pararara papa raapa
Turururu tuturuutu (eeeh)
Para papa papaah
Naukitaka kuniacha nambie
Nisha umizwa kwenye whole life
Moyo una matobo visijirudie nisha
Nisha chomwa chomwa sana knife
Achana nao wanao niita fundii
Michezo yao kupakana vumbi
Wana andamana kuunda vikundi
Usiku mchana hawalali bundi
Naeka kando ujana
Safari kikomo tukutane kiama mmh
Na mkihisi nna laana jua
Ni mapenzi yame nizidia sana aaa
Pararara paparaa paah
Turururu tuturuutu
Aaaaaah
Pararara papa raapa
Pararara papa raapa
Turururu tuturuutu (eeeh)
Para papa papaah
Written by: Banny Music, Holiday Tz
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...