Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lony Bway
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lony Bway
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bob manecky
Producer
lexyvanny
Producer
Lyrics
Mapenzi hisia usidanganyiwe na picha
We ingia ndanii ujionee
We umechoka mwenzako ndo anafika basi kaa mbalii ujionee
Labda ulipotamani vizurii ulipokosa na we ndo ukanunaa
Unanikosesha raha kiburi nkiongea mwenzangu unauchuna beby
na safarii yangu inaishia njiani kabisa roh yangu inaumaa aaah
Nimechoka siwezi naogopa mana hauna huruma beby
Aaaaaah aaah a a a
Aa aa aaa aaaaaah aaah Aaa a a (AYAA)
Aaaaaah aaah a a a
Aa aa aaa aaaaaah aaah Aaa a a
(SAWA)
Writer(s): Jimmy Myovela
Lyrics powered by www.musixmatch.com