album cover
Moyo
album cover
Moyo was released on March 27, 2026 by Dreamcash, Under exclusive license to ONErpm as a part of the album Seven
AlbumSeven
March 27, 2026
LabelDreamcash, Under exclusive license to ONErpm
LanguageEnglish
BPM95
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Kama majina mi nishayamaliza mama
Wenye vitina nishawapunguza aah
Sarafina, Anita, Amina ulidanganywa
Hao wote mi nishawapuuzaga
Usijisahaulishe mi ninavyokupenda
Usijisahaulishe moyo ulivyouteka
[Chorus]
Ukiniacha utanipa ugonjwa wa moyo
Ukiniacha utafanya mimi nipagawe
Ukiniacha utanipa ugonjwa wa moyo
Ukiniacha utafanya mimi nipagawe
Mi nipagawe
[Verse 2]
Usipende kugombana na mimi ooh
Mi sipendi kugombana na wewe eeh
Kuwapa faida watu aah ndio nini ooh
Ya ngoswe aachiwe ngoswe
Usijisahaulishe mi ninavyokupenda
Usijisahaulishe moyo ulivyouteka
[Chorus]
Ukiniacha utanipa ugonjwa wa moyo
Ukiniacha utafanya mimi nipagawe
Ukiniacha utanipa ugonjwa wa moyo
Ukiniacha utafanya mimi nipagawe
Written by: Lony Bway
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...