Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Oscar lelo
Composer
Lyrics
(S2kizzy baby)
E-le-le-le-le
Ah, limewaka penzi letu mi amor
Mpaka sasa nimeshinda shindano
Señorita langu huba te amor
Yeah, shata, shata nimefika kikomo, oh
Oh, halleluyah
Nampenda huyu
Napata furaha
Wa kwangu huyu
Oh, halleluyah (halleluyah)
Nampenda huyu
Napata furaha (napata furaha)
Wa kwangu huyu
Roho yangu mii
Ndo tamu yangu mii, eh
Roho yangu mii
Ndo tamu yangu mii
Roho yangu mii
Ndo tamu yangu mii, eh
(I)
(I)
Ah, si unajua raha ya nyama kutafuna
Sio kuonja na kutema
Usiruhusu moyo kuuchoma choma
Wakaja pata la kusema
Oh, baby, oh, baby, ukinimiss niite mii, niite mii, niite mii
Me nadekeza sikaripii
Oh, halleluyah (halleluyah)
Nampenda huyu
Napata furaha
Wa kwangu huyu
Oh, halleluyah (halleluyah)
Nampenda huyu
Napata furaha (napata furaha)
Wa kwangu huyu
Roho yangu mii
Ndo tamu yangu mii, eh
Roho yangu mii
Ndo tamu yangu mii
Roho yangu mii
Ndo tamu yangu mii, eh
(I)
(I)
Oh, halleluyah (halleluyah)
Nampenda huyu
Napata furaha (napata furaha)
Wa kwangu huyu
(Kamix Lizer)
Written by: Oscar lelo


