album cover
Siachiki
album cover
00:00
00:15
00:35
01:00
01:20
01:30
01:50
02:00
02:05
02:25
00:00
02:38
Past 7 Days
Siachiki was discovered most frequently at around 35 seconds into the song during the past week

Lyrics

[Verse 1]
Mapenzi ya gereshea
Simu bafuni wapokelea
Me mtu mzima sio chekechea
Bana jaribu kuwa fair
[PreChorus]
Si unanipenda alafu unifiche
Kwa rafiki zako nionyeshe
Si unanipenda alafu unifiche
Kwa wazazi wako nipeleke maana
[Chorus]
Mi nikipenda huwa nang'ang'ana
Nakuwaga king'ang'ana
Mi nikipenda huwa nang'ang'ana
Nakuwaga king'ang'ana
[Verse 2]
Hili gari halina siti ti ti mlikome
Hilo pepo la kucheat ti ti tulikemee
Sasampa napenda vipi unizoe
Kukaa kwa simu mi ndio mwenye kiti
Pin nitolee
[PreChorus]
Si unanipenda alafu unifiche
Kwa rafiki zako nionyeshe
Si unanipenda alafu unifiche
Kwa wazazi wako nipeleke maana
[Chorus]
Mi nikipenda huwa nang'ang'ana
Nakuwaga king'ang'ana
Mi nikipenda huwa nang'ang'ana
Nakuwaga king'ang'ana
Written by: Gradnes Mwakolo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...