album cover
Nimetulia
442
Music
Nimetulia was released on October 15, 2024 by Brayban as a part of the album Nimetulia - Single
album cover
Release DateOctober 15, 2024
LabelBrayban
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM179

Credits

PERFORMING ARTISTS
Prince brayban
Prince brayban
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Prince brayban
Prince brayban
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
SIZO THE BOY
SIZO THE BOY
Producer

Lyrics

Intro
Hehe babe listen
Its time
I got this for you
Okay?
Tumbu nimetumbukia kwenye huba zito
Wewe ndo wa kunibebea mepesi mazito
Ona unajishaua ati mimi nipo
Mzuri kama maua mashahidi people
Kama zawadi nilopewa na Mungu, kubwa ni we kipenzi
Laiti samaki ningekuwa, basi we ndo mapezi
Nina bahati we langu fungu, nuru nyota na mwezi
Kama mzazi umekuwa, ukinipa malezi
Chorus
Kama maji mtungini (nimetulia tuli)
Mwengine mimi wa nini (nimetulia tuli)
Nimeacha kuzini zini (nimetulia tuli)
Kama maji mtungini (nimetulia tuli)
Verse 2
Hainogi hainogi, dunia bila wewe hainogi
Nakusikiliza nakutii, umeleta maana ya mapenzi
Siondoki sing’oki, mi nikiwa nawewe sichoki
You are my kitasa nami ndo key, wengine nawaona washenzi
Wala sikutegemea ungenipenda hivi
Kama vazi la heshima umetulia mwilini
Kama zawadi nilopewa na Mungu, kubwa ni we kipenzi
Laiti samaki ningekuwa, basi we ndo mapezi
Nina bahati we langu fungu, nuru nyota na mwezi
Kama mzazi umekuwa, ukinipa malezi
Chorus
Kama maji mtungini (nimetulia tuli)
Mwengine mimi wa nini (nimetulia tuli)
Nimeacha kuzini zini (nimetulia tuli)
Kama maji mtungini (nimetulia tuli)
Written by: Prince brayban
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...