album cover
Nangoja Ageuke
5
Music
Nangoja Ageuke was released on November 27, 2008 by Slide Digital as a part of the album Habari Ndio Hiyo
album cover
Release DateNovember 27, 2008
LabelSlide Digital
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM87

Credits

PERFORMING ARTISTS
MwanaFA
MwanaFA
Performer
Ay Masta
Ay Masta
Performer
COMPOSITION & LYRICS
MwanaFA
MwanaFA
Songwriter
Ambwene Yessayah
Ambwene Yessayah
Songwriter
Hamis Mwinjuma
Hamis Mwinjuma
Songwriter

Lyrics

Eh, yeah, oh, yeah
Eh, yeah, oh, oh, oh
AY na Mwana FA
Pump up your volume, pump up your volume
Bado mi' nangoja ageuke (eh, yeah)
Mi' nangoja ageuke (oh, yeah)
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja (kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake)
Bado mi' nangoja ageuke (eh, yeah)
Mi' nangoja ageuke (oh, yeah)
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja (kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake)
Anavyokwenda nikama a'shanikubali, ila hajasema
Kama amenikamia kama anajua namtazama
Hatua zake za malengo zinalevya ni ganja kama
Najionea wivu kumtazama sikupaswa kumuona
Ni balaa zaidi ya raha, maana utaweza data
Navuta subira huku nanyonga ka' Rasta
Napanga vile jinsi gani nitampata
Muweka kwenye himaya kwani nimebahatika
Ameumbwa kama demu wa ndoto au kama mdoli
Kiwango nachofikiri cha nembo ya demu mzuri
Nashindwa kuacha kumuangalia kuacha kumkodolea
Watu wanaoniona shauri zao, hata wakisema nnanjaa
Nataka kutoa maksi, hata staku vile
Wengine hawampati nimemwona today
Kichwani ana A, shingo ana A
Kiuno yabeki mpaka miguuni
Bado mi' nangoja ageuke (eh, yeah)
Mi' nangoja ageuke (oh, yeah)
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja (kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake)
Bado mi' nangoja ageuke (eh, yeah)
Mi' nangoja ageuke (oh, yeah)
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja (kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake)
Anavyonyoa kichwa changu ananitoa akili
Hata nikiacha kumtazama bado namuona kwa kweli
Nampa nyota kila bega na bado naona hazitoshi
Najikaza ili niondoke nisimtazame, moyo hautaki
Lazima ni machepiani
Ana midomo minene na imelowa naitamani (oh, man)
Laz' hot ka' nanii
Macho yamelegea na kununa hajui ni nini (oh, man)
Nafahamu tofauti ya trick na magic
Hizi za unyago tu hawezi kuwa wa geti
Natongoza kikubwa nahonga kama mwanasiasa
Kigogo naomba kumuoa sitaki mchezo kabisa
Amebeba utamu
Sijui nikueleze vipi ili unielewe
Nataka asogee kwangu
Utapenda akitembea na nnapenda tu nimwone mbele
Bado mi' nangoja ageuke (eh, yeah)
Mi' nangoja ageuke (oh, yeah)
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja (kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake)
Bado mi' nangoja ageuke (eh, yeah)
Mi' nangoja ageuke (oh, yeah)
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja (kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake)
Namega picha hivi inakuwaje kwenye vazi la ufukweni
Ama akitoka kuoga kanga moja tu kifuani (wewe)
Aliumbwa saa ngapi kwani?
Nitaiuza hata Dunia na vyote vilivyo ndani
Nangoja ageuke, nimwite, na niseme mapenzi akanimwage
Moyo wangu utashusha pumzi
Akitembea ka' anacheza na akicheza si kama stripper
Mwache ageuke uone mziki au unadhani nitamwogopa
Sita mbovu namtazama tu
Na vile yupo juu nahisi wakati ni huu
Nitamfata atapokwenda, kichwani ashanilevya
Sitaruhusu kumpoteza kwani nimegundua
Kumbe si mimi tu hata FA
Anayengojea binti huyu ageuke
Najua ukimwona tu lazima udate
Lazima uta-wish uwenae tu everyday
Bado mi' nangoja ageuke (eh, yeah)
Mi' nangoja ageuke (oh, yeah)
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja (kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake)
Bado mi' nangoja ageuke (eh, yeah)
Mi' nangoja ageuke (oh, yeah)
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja (kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake)
Ngoja ageuke
Nangoja ageuke
Nangoja ageuke
Kiuno kishanichanganya nataka niione sura yake
Ngoja ageuke
Kwenye bonge la beat ya Hammy B
Ni Mwana FA, AY
Sawa sawa, yeah
Nangoja ageuke (eh, yeah)
Nangoja-ngoja ageuke (oh, yeah)
(Eh, yeah)
Nangoja-ngoja-ngoja-ngoja-ngoja-ngoja-ngoja-ngoja-ngoja
Ngoja aeguke
Written by: Ambwene Yessayah, Hamis Mwinjuma, MwanaFA
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...