Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
MwanaFA
MwanaFA
Performer
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Composer
Hamis Mwinjuma
Hamis Mwinjuma
Songwriter

Lyrics

We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami uwe mbali nami (Falsafa) Who dat who dat, hii ni salamu Na ufahamu kama unauza mapenzi sio kwa binamu Huna haja ya kuisubiri hii ni ukumu Hakuna kitu utapata tangoja ka askari wa zamu Dume suruali, au dume kaptula Shauri zako ilmuradi nsipate hasara Usione utani mi siongei hata kwa ishara Utaniambia nini mpaka unigeuze fala Kwanza naskia hongo zinaleta mkosi Sentiano yangu huguzi hata ukiongea kidosi Jambo la kimapenzi tusileteane ujambazi Hata upige sarakasi, utachonga viazi (Dhahili kama nini) ndio mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada, hunitakii mema We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami (aah) Kama dume suruali kaa mbali nami uwe mbali nami I want the gucche, friende Spending all I got it on me I dance with money, honey Spending all I got it on me yeah Ni hongo inanunua nini, kwa nini yaani Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani Usiulize ntakupa nini dada piga moyo konde Viuno vingi kama wale wa Kimakonde Usipende hela kama mfuko Na ufanye unavyofanya upate zako Vishawishi vingi binti sema na moyo wako Na ujifunze pesa zinauza utu wako Tajiri mtata kama salaa Zipo ila sitoi sio bahili mi ni balaa Unapenda hela zangu na mi naIpenda pia Kila mtu abaki na zake, we baby tutaongea (Mwanaume wa hivyo wa nini sasa) Ndio mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada, hunitakii mema We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami uwe mbali nami I want the gucche, friende Spending all I got it on me I dance with money, honey Spending all I got it on me yeah Aje, aje, aje, mi mtoto flani ghali, yeah Nihonge gari, my sweetie, sweetie baibe, ah Wanna see you today, unipeleke pare, yeah Aje, aje, aje, njoo nikupe TBT, yeah Sio kwa enzi ya Magufuli Zali ilikuwa longi siku hizi hakuna la mentali Nkikuhonga na ukaniacha nitakuibia usingizini Niepushe shari matatizo yote ya nini Hakuna kipya chini ya jua Hata nisiyoyafanya nishayasikia Ningekuwa mhongaji ningeshafulia wangu Mademu wangu wa zamani Wote wangekuwa maadui zangu (Mwanaume ovyo wewe) ndio mnavyosema Na ukiniomba kesho hunisikii tena Kwani unauza nini dada Hunitakii mema (baki na hamu zako) We ni dume suruali kaa mbali nami, mbali nami (aah) Kama dume suruali kaa mbali nami uwe mbali nami I want the gucche, friende Spending all I got it on me I dance with money, honey Spending all I got it on me yeah
Writer(s): Hamis Mwinjuma, Vanessa Mdee Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out