Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kontawa Kontawa
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Kontawa Kontawa
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mushizo
Producer
Lyrics
Toka Black and White
We Mushizo, utawaua...
Mh, moja ya kitu nikipendacho, jamani ni choo
Kabla sijamiliki nyumba, wanangu
Mi naanza na choo
Eh, ukiniibia nikipendacho, itakuwa soo
Nitakupeleka kwa wakala mwanangu, ni ka kutoe roho
Ili choo kiwe kisafi ama kichafu inategemea na matumizi ya watu
Mfano choo cha Kajala, unavaaje viatu?
Ukiingia unaweza kaa masaa matatu, oya choo cha Wema, ukikichunguza, kilikuwa kikubwa ila sasa hivi kakipunguza, ukibanwa haja ndogo popote we punguza
Ila haja kubwa katafute choo Buza
Mfano kama kile choo cha Niffer, unaeza ingia na jiko na ukapika
Kuna vyoo vizuri vina uhakika, hata shetani anatamani choo cha malaika
Oh, toilet, mida ya kwenda toilet
Eh-eh, toilet, wakati wa kwenda toilet, oh, toilet, mida ya kwenda toilet, eh-eh, toilet, mi nataka kwenda toilet
Mie
Napenda choo kama mende
Eh-eh-eh
Vyoo vya Bukoba vina maji mengi 'haifai
Ila vyoo vya Kitambaa Cheupe, unaweza ukaumwa UTI, 'eh
Na kuna maswali kuuliza sio ujinga
Hivi Posh ana choo ama chumba, eh-eh
Hadi moyo ukadunda, siku hizi Ndaro anaogea choo cha Tunda
Ukiona baby wako hakupendi, halafu anatoa sana macho akiona vichenji, daily ana kunywa, hanaga wikiendi, wewe huyo baby wako choo chake cha stendi
Kwa mfano mimi, mkazi wa Keko, pale Magurumbasi, nnapo ishi ghetto
Halafu niletewe choo kama cha Mobetto
Oya kila nikiingia mi napiga nye-
Oh, toilet, mida ya kwenda toilet
Eh-eh, toilet, wakati wa kwenda toilet, oh, toilet, mida ya kwenda toilet, eh-eh, toilet, mi nataka kwenda toilet
Una safisha choo chako, una kisugua, 'ili kionekane kama choo cha kishuwa
Afu unarudi nyumbani, bila kujua Unamkuta boya eti anakichafua
Oya inauma, 'inauma, inauma, inauma, inauma, inauma
Oya sikufichi inauma
Ah
Inauma, inauma, inauma, inauma, inauma, inauma
Oya sikufichi inauma
Ah, we Mushizo usifanye hivyo, hili dundo ni kali mtaani limekuwa tatizo, ah
Ah, we Mushizo usifanye hivyo, hili dundo ni tamu mtaani limekuwa tatizo
Oya 'toka Black and White, mi nachekaga tu, heh, eh, eh
We lewa lewa tu ila ukizima tuna kupima UKIMWI
Written by: Kontawa Kontawa