Credits
PERFORMING ARTISTS
Kontawa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdu Hamis
Composer
Lyrics
[Verse 1]
Me na wewe kabla atujawa wapenzi
Tulikutana club ukanipa one night stand
Ile siku nilikua na maumivu kishenzi
Me na ex wangu ndo tuliachana stand
[Verse 2]
Nlikuaga nauza banga na vijiti
Nlijitoa sana ili mradi ye aishi
Ila bado alinicheat
Sa ningefanya nini na nimemfuma na poliisi
[PreChorus]
Kumbe mapenzi siti ya daladala
Kashuka yeye umepanda wewe
Ata nikiwa njaa usinipe chakula
Mama nataka nikule wewe
[PreChorus]
Niseme kweli sijielewi
Raha za hii sayari ndo zimenichanganya mee
Ayaa mapenzi ibaki kheri
Kukuachia siwezi nishakuweka moyoni
[Chorus]
Una ng'araa kama mbalamwezi
Ata nikilala nakuota mupenzi
Baby si unajua kukuacha siwezi
Yani una ng'ara kama mbalamwezi
Una ng'araa kama mbalamwezi
Ata nikilala nakuota mupenzi
Baby si unajua kukuacha siwezi
Yani una ng'ara kama mbalamwezi
[Verse 3]
Kwangu anacheza mwenyewe sitaki ata nimchezee
Wenzenu tumepanda basi tuko road tunaenda uzee
Ata kama wachawi ni wengi iih
Siwezi kumficha yeye sio bangi
Anavyo nishika mwenzenu me
Napiga mabao kama vile harland
[Verse 4]
Yeye nakumbuka aliniambia anapenda uvuvi
Kupiga makasi
Istoshe baba ako baharia
Ndo mana ukija getto uwaga unanivulia
[PreChorus]
Mama mapenzi usiite daladala
Kashuka yeye umepanda wewe
Ata nikiwa njaa usinipe chakula
Mama nataka nikule wewe
[PreChorus]
Niseme kweli sijielewi
Raha za hii sayari ndo zimenichanganya mee
Ayaa mapenzi ibaki kheri
Kukuachia siwezi nishakuweka moyoni
[Chorus]
Una ng'araa kama mbalamwezi
Ata nikilala nakuota mupenzi
Baby si unajua kukuacha siwezi
Yani una ng'ara kama mbalamwezi
Una ng'araa kama mbalamwezi
Ata nikilala nakuota mupenzi
Baby si unajua kukuacha siwezi
Yani una ng'ara kama mbalamwezi
Written by: Abdu Hamis

