album cover
Moyo
3,502
Afro-Beat
Moyo was released on February 21, 2025 by WHOZU as a part of the album Moyo - Single
album cover
Release DateFebruary 21, 2025
LabelWHOZU
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM171

Credits

PERFORMING ARTISTS
Whozu
Whozu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
OSCA JOHN LELO
OSCA JOHN LELO
Songwriter

Lyrics

Usijali kwamba unapitia mangapi
Utapenda tena…
Muda mwingine ni machozi unalia
Moyo unashindwa sema…
Siri ya moyo unao moyo wenyewe
Unahema hema…
Hivi utaridhika nikiachwa
Moyo niambie mapema….
Moyo una nini Moyo unanini
Moyo unaenyeka….
Sindo wewe nae kumwagilia
Na hua tunaenda bar kupombeka…
Moyo una nini Moyo una nini…
Moyo unaenyeka…
Nikizikosa naomba vumiliaa
Usiwe mnyonge usiwe unateseka…..
Moyo nikizipata
Uta enjoy uta enjoy
Hizi shida moyo hutoziskia tena..
Uta enjoy utaenjoy…
Wanaokusema huko insta watajuta…
Uta enjoy uta enjoy
Hizi shida moyo hutoziskia kamwe…..
Uta enjoy uta enjoy
Moyo wangu uta enjoy…..
Ooooh Moyo
Eeeeeeh….
Maumivu yangu moyo
Usichoke nibebeee…
Kuwa karibu nami
Ukiweza nitetee….
Ukikipenda kitu moyo
We ntembezeee….
Majungu fitina yazoeeee
Tunagombana tunapatana
We Moyo hujawahi hata kunikana
Tukizozana haina maana….
Moyo una nini Moyo unanini
Moyo unaenyeka….
Sindo wewe nae kumwagilia
Na hua tunaenda bar kupombeka…
Moyo una nini Moyo una nini…
Moyo unaenyeka…
Nikizikosa naomba vumiliaa
Usiwe mnyonge usiwe unateseka…
Moyo nikizipata
Uta enjoy uta enjoy
Hizi shida moyo hutoziskia tena..
Uta enjoy utaenjoy…
Wanaokusema huko insta watajuta…
Uta enjoy uta enjoy
Hizi shida moyo hutoziskia kamwe…..
Uta enjoy uta enjoy
Moyo wangu uta enjoy…..
Written by: OSCA JOHN LELO
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...