album cover
Afro
4,563
African
Afro was released on February 4, 2014 by Ben Pol as a part of the album Ben Pol
album cover
AlbumBen Pol
Release DateFebruary 4, 2014
LabelBen Pol
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM80

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ben Pol
Ben Pol
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Benard Paul
Benard Paul
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ben Pol
Ben Pol
Producer

Lyrics

Afro afro
Mtoto wa kisagana mama
Salamuu zangu nakutumia
Popote ulipo zipokee
Nisalimie ndugu na wazazi wako mamaa popote walipo Afro
Mimi sijambo mawazo tele moyoni hii
Mimi sijambo mawazo tele nina wasiwasiii
Nikikumbuka tulivyo achana mara ya mwisho ulinihaidi Afroo
Tungeonana mapema siku zinapita bibie mbona sikuoni
Tungeonana mapema aa bibie mbona sikuoni
Afro mamayee iyoo
Mtoto wa saganaehh eh
Kaaa ukumbukeeeh, penzi geukaa ah
Leo kwangu kesho kwakoo
Utanikumbuka ah
Afro mamaeeh iyoo
Mtoto wa saganaaae eh
Kaka ukumbukeeh eh
Mpenzi geukaa ah
Leo kwangu kesho kwako mamaeeh
Utanikumbukaeeh eh
Wasalimie ndugu na wazazi wako mama popote walipo Afro
Mimi sijambo mawazo tele moyoni
Mimi sijambo mawazo tele nina wasiwasi
Nikikumbuka tulivyo achana mara ya mwisho ulinihaidi Afroo
Tungeonana mapema siku zinapita bibie mbona sikuoni
Tungeonana mapema aa bibie mbona sikuoni
Afro mamayee iyoo
Mtoto wa saganaehh eh
Kaaa ukumbukeeeh, mpenzi geukaa ah
Leo kwangu kesho kwakoo mamaeh
Utanikumbuka ah
Afro mamaeeh iyoo
Mtoto wa saganaaae eh
Kaa ukumbukeeh eh
Mpenzi geukaa ah
Leo kwangu kesho kwako mamaeeh
Utanikumbukaeeh eh
Afro lakini nyaga saganaeh ehhh
Usiniweke pembeni mamaah ah
Ingawa wako wengi wazuri mamii
Lakini nimekuchagua wewe ehhh
Tabia zako sawa na sura yakoooo
Nimeridhika kuwa na wewe ehh
Tabia yako sawa na sura yakoo
Nimeridhika kuwa na weweee ehh
Sagana unipeleke mama aahh
Nikawaone wazazi wakooo ohh
Na tz pia zifike mamiii
Ukawaone baba na mama ahhh
Mengine mengi sisemi mama ahhh
Uamuzi nakuachia wewe ehh
Mwisho nakuombea salamaaa ahh
Mpaka siku tutapooana ahh
Afro mamayee iyoo
Mtoto wa saganaehh eh
Kaaa ukumbukeeeh, penzi ugeukaa ah
Leo kwangu kesho kwakoo mamaeh
Utanikumbukaeeh ehh
Afro mamaeeh iyoo
Mtoto wa saganaaae eh
Kaaa ukumbukeeh eh, penzi ugeukaa ah
Leo kwangu kesho kwako mamaeeh
Utanikumbukaeeh eh
Written by: Benard Paul
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...