album cover
Neno
album cover
Neno was released on July 4, 2025 by Cyco Hub as a part of the album Misimu
AlbumMisimu
ReleasedJuly 4, 2025
LabelCyco Hub
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Yesu neno lako uzima
Uzima wa milele
Eh eh
Pia neno lako ni nuru
Mwangaza njiani mwangu, uh uh
Majani yakauka
Ua la nyauka, bali neno la mungu, litasimama milele
[Chorus]
Neno lako eh eh eh
Neno lako ndio kweli
Neno lako eh eh eh
Litasimama milele
Neno lako eh eh eh
Neno lako ndio kweli
Neno lako eh eh eh
Litasimama milele
[Verse 2]
Yesu neno lako ni hai
Tena lina nguvu
Uh uh
Neno lako halirudi bure
Lazima likamilishe
We sio binadamu huwezi danganya
Ukisema liwe lazima liwe
[Chorus]
Neno lako eh eh eh
Neno lako ndio kweli
Neno lako eh eh eh
Litasimama milele
Neno lako eh eh eh
Neno lako ndio kweli
Neno lako eh eh eh
Litasimama milele
[Verse 3]
Neno lako lazidi upanga
Ukatao kuwili
Pia neno lako ni taa
Nuru ya ulimwengu
Yesu ulisema, atakaye kufuata
Amepata nuru ya uzima
[Chorus]
Neno lako eh eh eh
Neno lako ndio kweli
Neno lako eh eh eh
Litasimama milele
Neno lako eh eh eh
Neno lako ndio kweli
Neno lako eh eh eh
Litasimama milele
Written by: Ben Cyco, Brandon Otieno

Loading...