Music Video

Rayvanny - Chuchumaa Lyrics Video
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Kijuso (feat. Rayvanny) - Single by Queen Darleen
ALBUMKijuso (feat. Rayvanny) - SingleQueen Darleen

Credits

PERFORMING ARTISTS
Queen Darleen
Queen Darleen
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Eyoo Laizer Wasafi Records Unaringa kitu gani we mwenyewe ujisute Afadhali hata Nyani sio we Mwanamke Hupendezi asilani so unyoe au usuke Nilifuata kitu gani umefanya nijute Hah Mimi nakonda pungua eeeh na usikurupuke Kwanza naongea na nani naomba nikumbushe Mimi na wewe hatuendani jipandishe jishushe Usinipande kichwani namba yangu ifute Hizo dharau mwanamke ulopata Naona unasahau nyuzi zako nilikata Nimepanda dau mkataba nimekata Tena Nyang'au ndo ukome kunifuata Unaringa una nini kijuso Vijimeno kama jini Gaucho Kwani nawe una nini Kituko Uso na kazi mjini upo upo Punguza kelele Mama (kelele) acha kelele Mama kelele Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana Kelele Eti nawe unavimba perfume tu mtihani Kwanza shati ulovaa umeazima kwa nani? Wanifuataa kapuku utanipa nini? Nilikuachaa leo kimekuwasha nini? Funga bakuli mbele yangu wewe mshamba Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga Wakati unanuka moshi huna hata ishu Kwenye pochi wanja na tishu Unapenda ganda la ndizi kuteleza Wakati kupambana mpaka mchuzi wa Pweza Dume zima tantalantala instagram inahu Wakati kwenu kula kulala huchangii hata Kitunguu Hizo dharau mwanamke ulopata Naona unasahau nyuzi zako nilikata Nimepanda dau mkataba nimekata Tena Nyang'au ndo ukome kunifuata Unaringa una nini kijuso Vijimeno kama jini Gaucho Kwani nawe una nini kituko Uso na kazi mjini Upo upo Punguza kelele ooh kelele acha kelele mama Kelele Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana Kelele Unaringa una nini kijuso Sijui meno kama Jini Gaucho Kwani nawe una nini Kituko Uso na kazi mjini Upo upo Punguza kelele Mama kelele acha kelele Mama Kelele Punguza kelele baba kelele acha kelele bwana Kelele
Writer(s): Raymond Mwakyusa, Siraju Amani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out